Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Kwa uzoefu wangu, sehemu zenye Waha wengi ni ngumu sana kufanya biashara

Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhundi kwa Ubahiri.
Nimekaa upareni... Napenda Chakula cha upareni " Kishumba'" Kitamu...
Na uchagani....
Mi Binafsi napenda sana mwanamke wa kichaga/ Mpare.
 
Uko sahihi sana Ndugu Yangu.

Wahaa ni Bahili sana Hapo, Mpare, mchaga aingii kwa Muha hao jamaa ni wabahiri sana
Naweza sema waha.

wanachuana na Muhundi kwa Ubahiri.
Hulka hiyo ya ubahiri ndiyo iliyowezesha Tanzania kuingia uchumi wa kati kupitia waziri wa fedha wakati huo, Mhishimiwa G. Mpango..... Au nakosea ndugu zangu? :AwkwardFlushed: :AwkwardFlushed:
 
Back
Top Bottom