Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kwenye uvumilivu ni wanawake wenu sio nyie wanaume!!Mnatuzushia waha, hatuna tabia ya uchafu. Sisi tupo kawaida hatuvai nguo za gharama maana hatuna uwezo nazo, lkn tuko smart na tunaoga nakupaka mafuta ya mgando/Nazi maana ndio uwezo wetu. Lakini kikubwa kuliko yote waha tunajua kuitafuta pesa awe mwanamke au mwanaume na niwavumilivu mno.
Nyie ni wachafu wa mazingira kiukweli hapana mmezidi🙌