Kwani anayebomoa zile gorofa pale mitaa ya msimbazi na uhuru ni nani?Tuna majini na nyoka za kutosha 😹😹😹
Ila chino bana 😂
Vipi uko pouwa? Wakinga mnatuandama sana.!!
😹😹😹 Toka siku ile ndo nimerudi leo bana, kule ntarudi soon sema muda sasa ndo sinaKwani anayebomoa zile gorofa pale mitaa ya msimbazi na uhuru ni nani?
Dah ndo umeibuka.
Na kule ndio umelimwa
Nilifikiri umeenda somalia fuata vijora😹😹😹 Toka siku ile ndo nimerudi leo bana, kule ntarudi soon sema muda sasa ndo sina
Vijora bado sijaenda kufata bana, mzigo mpya ukiingia ntakushtua umchukulie mama sawa?? Naitaka pesa yako chino 😹Nilifikiri umeenda somalia fuata vijora
Dah si ntaharibu threads za watu sana sasa
Unaijua pesaVijora bado sijaenda kufata bana, mzigo mpya ukiingia ntakushtua umchukulie mama sawa?? Naitaka pesa yako chino 😹
😹😹😹Unaijua pesa
Hucheki na wowote
Fanya ivo basi kabla sijapotea
Uchawi na ubahili wa muha , mkinga akasomeMuha ni ballaa lingine,, kuna project nilianzisha nyakanazi hapo nilijuta.... Nilifanikiwa kuihamisha Mungu ni mwema.
Mhindi hafiki haya nusu ya ubahili wa muha halisi ,trust meMkuu muhindi ameshindikana
Kuna mzee hapa kawaajiri hawa wana mwaka wa kumi sasa , wapo watano amewajengea bweni hapo , wanafanya kazi ya kulisha ng'ombe na nguruwe , wako poa kabisa .kitu nimegundua hao tunaowaona town tukawaita waha, si waha ni warundi.. muha ni mvivu, hapendi kuhama kigoma wala hapendi wahamiaji mkoani kwake, hajui kufuga wala kulima kazi zote anafanyiwa na mrundi ndo kama mtumwa make huku. nimejionea mengi wilaya ya kasulu vijijini
Wewe huwajui wahindi, ndio maana nchi yetu ina shida kwasababu wameshika hela hawaMhindi hafiki haya nusu ya ubahili wa muha halisi ,trust me
Nimekaa na haya majitu ,nayajua
Waha ndio msosi waomapande ya kichwa cha nguruwe, maini ya nguruwe, mapupu, figo na utumbo wa nguruwe, mdudu nakula ila siwezi kufikia hatua ya kula na hivo vitu