Kirchhoff
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,735
- 8,541
Nikiwa nasherehekea ujio wa mtoto wa tatu katika Ndoa Yangu nataka niandike haya machache katika jukwaa hili ili ndugu yangu shemeji yangu Rayvanny uokoe roho yako.
Mambo mengi yametokea huko Wasafi ambayo yamehusihanishwa na vita vya kiroho baina ya Upande wa Mungu Baba Mwana Na Roho Mtakatifu na ule wa Al Lah.
Mstari huu katika wimbo wa Kwangwaru unathibitisha mtizamo wa mwimbaji dhidi ya Maneno ya Bwana wetu Yesu Kristu.
"Moyo wangu wa muarobaini
Mchungu ukiuziwa
'Samehe mara sabini
Huo uzungu sija jaaliwa"
Kwamba maneno "Samehe mara Sabini" ni mambo ya wazungu ma hayana maana kwake.
Hata kujenga kanisa ni "uzungu" na hawajajaliwa hao Wasafi.
Baadae watakulazimisha kusilimu maana ukristu ni "uzungu" tuu kwao.
Shetani alimjaribu Yesu akimwambia " ukinisujudia nitakupa milki hii yote" Hivyo hivyo namuona shetani akikuambia hivyo hivyo shemeji yangu na weww unamwangukia. Hima Ondoka hapo.
Huwa wanatabia ya kuwatumia watu kama ninyi maarufu ili wateke wenye imani dhaifu.
Shutuka! Kimbia!