George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Mkuu...Umeangalia official video? Umeona matiti kwenye official video? Nitumie screenshot ya matiti kwenye official video badala ya hiyo preview uliyoweka awali
Official Video: Diamond Platnumz ft Omarion_African BeautyMkuu huna ka video tuitathimini vizuri
Kama ungekua makini, ungeona neno "age restricted video" kwenye huo ukurasa..Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...
Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...
Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.
Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....
Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee
Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..
View attachment 715550
Rebacca how is it going with your project of advising the President ???wasiombee wakaifungia ndio kwanza watakua wanai promote...
alafu simba ana akili sana,kaenda kufanyia uzinduzi Kenya,alijua watanzania wenzake mtaleta shobo
Nime sha ifuta kauli usjaliI wasn't recognized as such,😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Nadhani this time watamfungia miez 6 kama Roma kama kweli wao hawana double standardHuyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...
Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...
Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.
Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....
Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee
Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..
View attachment 715550
Kama ungekua makini, ungeona neno "age restricted video" kwenye huo ukurasa..
Nadhani this time watamfungia miez 6 kama Roma kama kweli wao hawana double standard
Leo leo hii ngoma hiyo lazima itiwe kufulibut kwa nnavyowajuwa basata na weredi wao wa kutukuka hiyo Video itafungiwa baada ya miezi sita au mwaka kabisa