Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...
Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...
Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.
Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....
Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee
Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..
View attachment 715550