Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Ila nahisi huyu Kijana sasa hivi kashaitoa Tanzania katika fikra zake, kwasababu Mtanzania hauwezi ukatoa video kama hii ukategemea isifungiwe Tanzania..!
Naamini DP alilijua hili hata kabla hajaanza kushoot hii video..!
 
Umeangalia official video? Umeona matiti kwenye official video? Nitumie screenshot ya matiti kwenye official video badala ya hiyo preview uliyoweka awali
Mkuu...
Ina maana umetutumia link bila mwenyewe kuiangalia hii video..?
Kwenye hii video kuna matiti na matako mazuri,vyote viko wazi kabisa..!
 
Screenshot_2018-03-16-01-46-00.png
Screenshot_2018-03-16-01-46-54.png
Screenshot_2018-03-16-01-46-44.png
Screenshot_2018-03-16-01-46-51.png
 
Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...

Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...

Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.

Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....

Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee

Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..

View attachment 715550
Kama ungekua makini, ungeona neno "age restricted video" kwenye huo ukurasa..
 
wasiombee wakaifungia ndio kwanza watakua wanai promote...

alafu simba ana akili sana,kaenda kufanyia uzinduzi Kenya,alijua watanzania wenzake mtaleta shobo
Rebacca how is it going with your project of advising the President ???
 
Huyu bwana mdogo kwanza namuelewa saaana na namkubali mnoo kwa uchapaji wake wa kazi...

Kila mtu anajua sas hivi yupo busy na kuitambulisha album yake mpya ya A boy from Tandale...

Leo nimepita youtube nikakutana na uchafu wa ajbu saana katika moja ya wimbo wake ambao utakuwepo kwenye iyo albamu.

Huu wimbo kamshirikisha Omarion unaitwa African beauty....Sijui dogo kawaza nini ila kiukweli huu wimbo video yake haitchezwa kokote pale na ikitoka tuu lazima wamtie ndaniii....

Video madada matiti yoote nje nje...yaaan naked kabisaaa...daaah,that is tooooo much aiseeeee

Nyimbo za namna hii tumezoea kuziona kwa wakina Snoopy,Nelly na wengineo wanaofanyaga dirty version...domo kaiga....Yaaan huu wimbo dogo ajue tu ban inamuhusu...ebu cheki hii screenshot hapo chini..

View attachment 715550
Nadhani this time watamfungia miez 6 kama Roma kama kweli wao hawana double standard
 
28765103_217017342372461_4138147891015319552_n.jpg
Album labda ifungiwe Tanzania,album tayari washaichukua Universal Group wanaisambaza hivi sasa na kumbuka diamond kashalamba hela yao zamani,labda apewe adhabu kama ya Roma.Ila bonge la nyimbo (zaidi ya matarajio yangu) na sioni tatizo ya hii video ameweka pale ucomfirm your age (PG),sasa ukiitizama maana yake wewe mkubwa.Angalia kwa jinsi inavyotrend huko Itunes na Apple
 
Watu wameshaona vifuu kifuani wana tamani itoke hata leo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] kwa maelezo ya Basata kwenye XXL Jamaa Hautoi huo wimbo
 
Nimeusikiliza kwa umakini wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Omarion, ukweli ni wimbo mzuri sana melody and beats ziko poa sana. Sema sasa yule video queen aliyeachia matiti na mat**ko nje kaiharibu sana hiyo video na naona BASATA hawatauacha salama.

Diamond ifike kipindi abadilike huwezi shindana na mkono wa Serikali, mwisho wa siku watakufungia kama Roma.

Jitathmini upya video hizo huwezi anagalia na mzazi akiwa pembeni. Hata leo nikisiki Waziri Shonza kaufungia huo wimbo sitoshangaa maana maadili hauna kabisa video gani matiti nje nje plus matako kama wacheza x bhana. Video za hivyo waachie kina Lil Wayne.

Back
Top Bottom