KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,192 Mar 17, 2018 #141 Shubiri Pori said: Nyimbo zenu za kibongo mbona zinajulikana tu kasilikile sikomi uko ndio kwajili yunu hizi nyingine tuachieni wenyewe Click to expand... Umemjibu vyema sana
Shubiri Pori said: Nyimbo zenu za kibongo mbona zinajulikana tu kasilikile sikomi uko ndio kwajili yunu hizi nyingine tuachieni wenyewe Click to expand... Umemjibu vyema sana
S Sambusa kavu JF-Expert Member Joined May 4, 2015 Posts 806 Reaction score 1,296 Mar 17, 2018 Thread starter #142 culture gal said: Ila kulikua na ulazima gani wa kumuweka huyo mdada akiwa uchi? angevaa short pant na top mbona ingekua poa tu? Wanawake wanapenda sana kujidhalilisha walai. halafu haki sawa wakati wenzake wamevaa nguo yeye yupo uchi. Pathetic. Click to expand... Uyo dada peke yake tuu atawavuta viewers zaidi ya milioni....
culture gal said: Ila kulikua na ulazima gani wa kumuweka huyo mdada akiwa uchi? angevaa short pant na top mbona ingekua poa tu? Wanawake wanapenda sana kujidhalilisha walai. halafu haki sawa wakati wenzake wamevaa nguo yeye yupo uchi. Pathetic. Click to expand... Uyo dada peke yake tuu atawavuta viewers zaidi ya milioni....
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,898 Reaction score 4,156 Mar 17, 2018 #143 Daa iy album cja wai ona ngoma ztee ni shidaaaa
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 Mar 17, 2018 #144 Ngoja niisave kabla haijapgwa pin
Z ZE NDINDINDI JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 1,885 Reaction score 4,012 Mar 17, 2018 #145 Daddy Daudi wa kolomije huwa anapelewa kwanza kuangalia na kupitisha so usijali Daddy ataikingia kifua si umesikia pia shonza anatolewa anawekwa ndumbaro?chezeaaa daddy wewe umsumbue msanii wake ubaki salama?
Daddy Daudi wa kolomije huwa anapelewa kwanza kuangalia na kupitisha so usijali Daddy ataikingia kifua si umesikia pia shonza anatolewa anawekwa ndumbaro?chezeaaa daddy wewe umsumbue msanii wake ubaki salama?