Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Kwa video hii, a boy from Tandale lazima ifungiwe

Ila kulikua na ulazima gani wa kumuweka huyo mdada akiwa uchi?
angevaa short pant na top mbona ingekua poa tu?

Wanawake wanapenda sana kujidhalilisha walai. halafu haki sawa wakati wenzake wamevaa nguo yeye yupo uchi.

Pathetic.

Uyo dada peke yake tuu atawavuta viewers zaidi ya milioni....
 
Daddy Daudi wa kolomije huwa anapelewa kwanza kuangalia na kupitisha so usijali Daddy ataikingia kifua si umesikia pia shonza anatolewa anawekwa ndumbaro?chezeaaa daddy wewe umsumbue msanii wake ubaki salama?
 
Back
Top Bottom