KING 360
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,002
- 5,192
Umemjibu vyema sanaNyimbo zenu za kibongo mbona zinajulikana tu kasilikile sikomi uko ndio kwajili yunu hizi nyingine tuachieni wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemjibu vyema sanaNyimbo zenu za kibongo mbona zinajulikana tu kasilikile sikomi uko ndio kwajili yunu hizi nyingine tuachieni wenyewe
Ila kulikua na ulazima gani wa kumuweka huyo mdada akiwa uchi?
angevaa short pant na top mbona ingekua poa tu?
Wanawake wanapenda sana kujidhalilisha walai. halafu haki sawa wakati wenzake wamevaa nguo yeye yupo uchi.
Pathetic.