Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeusikiliza kwa umakini wimbo mpya wa Diamond aliomshirikisha Omarion, ukweli ni wimbo mzuri sana melody and beats ziko poa sana. Sema sasa yule video queen aliyeachia matiti na mat**ko nje kaiharibu sana hiyo video na naona BASATA hawatauacha salama.
Diamond ifike kipindi abadilike huwezi shindana na mkono wa Serikali, mwisho wa siku watakufungia kama Roma.
Jitathmini upya video hizo huwezi anagalia na mzazi akiwa pembeni. Hata leo nikisiki Waziri Shonza kaufungia huo wimbo sitoshangaa maana maadili hauna kabisa video gani matiti nje nje plus matako kama wacheza x bhana. Video za hivyo waachie kina Lil Wayne.
kashitaki basi basataNgoja ufungiwe utakuwa unauangalia peke yako tu chumban na kwenye simu yako.
Kwenye mediaMwanzo nilijua wakizifungia ni hadi you tube kumbe hamna, naziona Wakawaka na Hallelujah zinaendelea kutamba tu huko you tube sasa wanafungia nini??
Umenena,kwa level ya Diamond tusitegemee aimbe ngoma za kigogo au kinyakyusa ambapo mwanamke amevaa mavitenge kama anaenda kwa wakwe zakeMaoni binafdi ruksa ila kuna vitu unakosa husisani vinavyohusu muziki wa kimataifa unapofanywa na wasanii wa kimataifa.
Haya mambo mtayazoea tu kwani hamkuwahi kuwa na msanii wa level hizi hapo awali.
Na hata hao basata itafika mahali wataelewa msingi wa jambo hili na mwisho watajua kipi cha kufungia na kipi cha kuacha.
labda anataka avae mayenu na wadada wavae magauni marefu makubwaa na ushungi halafu wawe wamekaa kwenye viti wakiimba hizo rnb songsNipe tafsiri ya ujinga kijana?
Clubing song ulitaka wavae madela na ukizingatia umefanywa na mtanzania ila kwa watu wa dunia ambako huku kuonekana hivyo ni jambo la kawaida.
bongo wachawi tupo tumejaa tele sema hatuna mavifaa tu kama maungo ya kurukia tunatafuta kwa udi na uvumba kumshusha mtu kimaisha tupate la kusema mitandaoniWakinizengua nahamia kabisa kenya maana nshapewa na kiwanja kabisa na mkinizengua zaidi nabadili na uraia kabisa,shubaàaaàmit!
Ujinga tu ndo mnaoendekeza maadili mmeyajulia wapi uhuni mnafanya gizani mnakuja malizia hasira zenu kwe sanaa fasihi hainaga matusi na hiyo ni aina ya kujieleza mbwembwe nyingi kufungia wasanii basi muwafungie na wa nje basi watu wanashusha kwe netAwe anaandika sasa specifications kuwa hii ni ya wabongo na hii kwa ajiri ya watu wa mataifa mengne ya nje (abroad)
Maoni binafdi ruksa ila kuna vitu unakosa husisani vinavyohusu muziki wa kimataifa unapofanywa na wasanii wa kimataifa.
Haya mambo mtayazoea tu kwani hamkuwahi kuwa na msanii wa level hizi hapo awali.
Na hata hao basata itafika mahali wataelewa msingi wa jambo hili na mwisho watajua kipi cha kufungia na kipi cha kuacha.