Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii ni kioo cha jamii, yeye ndo anayetakiwa kuibadilisha jamii kutoka kwenye uovu kuipeleka kwenye maadili. Sasa inapotokea msanii mkubwa kama Diamond kuanza kupromote ujinga wa kushusha maadili, hatuwezi kufumbia macho ujinga kama huwo.ifungwe ili iweje mbona si wabongo wanafiki eti maadili maadili what a ****??basi zifungieni na za mamtoni!!fungieni mitandao ya ngono!kamateni Malaya wote tz!kamateni mademu woote wanaovaa vibaya barabarani...
maadili gani bwana wewe??maadili bongo??mnazingua bwana mwacheni dogo afanye yake...!!maadili kitu gani??Msanii ni kioo cha jamii, yeye ndo anayetakiwa kuibadilisha jamii kutoka kwny uovu kuipeleka kwny maadili. Sasa inapotokea msanii mkubwa kama Diamond kuanza kupromote ujinga wa kushusha maadili, hatuwezi kufumbia macho ujinga kama huwo.
Hivi kwenye dunia ya leo lipi jipya?....unafiki na roho mbaya.Acheni uwongo na kuwa na fikra hasiii kiasi hcho "" mbona kuna video nyingi tu toka huko huko ulaya na amerca ambazo hazina viashiria vya ngono na nyimbo zao ziko hit mnooo ""
Hebu nionyeshe wimbo wowote wa eddy sheran ambao video yake inamaudhui ya wanawake waliokaa uchi "" au video zake naye ameziandaa kwaajili ya kuzionyesha afrivmca tu peke yake vipi kuhusu ile ngoma ya manya ya wizkid mbona hamna wacheza uchi mule au video imepangwa kuonyeshwa tanzania tu pekee"" vipi kuhusu fia ya davido..vipi kuhusu " loyalty ya kendrick vipi kuhusu humble ya kendrick .
Aiseeee ifikie hatua watu tubadilike na hizi fikra hasi kuwa kukaa uchi ndio uzungu sijui ustaa wakati hapo hapo tumeona huyo omarion video yake ameifanyia south africa tena eneo kubwa la shooting likiwa limefnyika mbugani na hakuna aliyekaa uchi vipi kuhusu french montana aliykuja kufnya video uganda na nyimbo yke kuwa hit pasipo kuwa na mademu walio uchi .
Serikali ikiwafungia mnadai kuwa mnaonewa ..kwanini msijikite kwenye kuwa mnaiga mambo mazuri tu pekee na yasiyo na faida mkaachana nayo
Unategemea msanii akuetee maadili....jiongoze mwenyewe acha kutegemea mtu akusaidie kuishi.Msanii ni kioo cha jamii, yeye ndo anayetakiwa kuibadilisha jamii kutoka kwenye uovu kuipeleka kwenye maadili. Sasa inapotokea msanii mkubwa kama Diamond kuanza kupromote ujinga wa kushusha maadili, hatuwezi kufumbia macho ujinga kama huwo.
Utasubili sana.Sikio la kufa halina dawa,anaweza kujihisi anapanda chati kwa haraka lakini hajui kuwa anguko lake litakuwa nalo la haraka vilevile..
Unazijuwa shughuri za Sheikh mkuu wa Dar?Hivi diamond ndo kuna Msikiti alikua anawajengea waislam kutokana kazi yake hii si ndio wandugu au?
Kwani DA MANGE alikwambiaje?Unazijuwa shughuri za Sheikh mkuu wa Dar?
Diamond mbona ni malaika kabisa?