Mbowe mwenyewe alichemka kwa lowasa kumkaribisha cdm, lisu ni habari nyingine ndiomaana alipigwa risasiTundu lissu huwa anafeli sana kisiasa, jicho lake kwenye siasa halioni mbali hata kidogo ni mzuri kwenye sheria lakini kisiasa angewaacha kina Mbowe, msigwa nadhan hawa wana mitazamo mizuri zaidi
ungeandika jibu japo mstari mmoja kumuokoa kiongozi wako na jambo hiliFukua hilo kaburi, ili kusindikizia hicho ulicho kiandika. Kinyume na hapo nitaona ni porojo tu kutoka kwa vijana wa ACT Wazalendo
ungeandika jibu japo mstari mmoja kumuokoa kiongozi wako na jambo hili
Kwa lugha nyingine hapo ni kwamba, ccm ina wake wawili.Mie ninachofurahia zaid ni kuwa ni rahisi sana Chadema kushirikiana na CCM au ACT kushirikiana na CCM kuliko ACT na Chadema kushirkiana
Chuki ya wanachadema kwa ACT ni kubwa kuliko kwa CCM na chuki ya ACT kwa Chadema ni kubwa kuliko waliyonayo kwa CCM
Ccm wakikutana na ACT chadema wananuna na CCM wakikutana na Chadema ACT wananuna kwa kifupi kila mmoja anaona fahari kukutana na CCM
Bakini na roho zenu za awanu ile ya kiharamiaMimi siwashangai chadema,
Ila nawashangaa sana mnaowachulia serious hawa watu!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa lugha nyingine hapo ccm ina wake wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Pole mkuu! Hii ndio ccm jitu kubwaNa kwa nini usiseme "kwa lugha nyingine hapo ccm ina vidume wawili"
Maana hakuna asiye fahamu kwa sasa chi chi emu ni chama cha wanawake!
Pole mkuu! Hii ndio ccm jitu kubwa
. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa nini hiki kitu kinawaumiza sana sana kiasi hiki?Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?
Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?
CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!
Naomba kutanguliza shukurani.
View attachment 2121894
View attachment 2121896
Lissu ashauza chadema habari kwisha kabisa, amekuwa ndumila kuwili ili apate kurudi tanzania aishi salama viongozi hawa watanganyika hawaaminiki hata kidogoMie ninachofurahia zaid ni kuwa ni rahisi sana Chadema kushirikiana na CCM au ACT kushirikiana na CCM kuliko ACT na Chadema kushirkiana
Chuki ya wanachadema kwa ACT ni kubwa kuliko kwa CCM na chuki ya ACT kwa Chadema ni kubwa kuliko waliyonayo kwa CCM
Ccm wakikutana na ACT chadema wananuna na CCM wakikutana na Chadema ACT wananuna kwa kifupi kila mmoja anaona fahari kukutana na CCM
Ni wao kweliFukua hilo kaburi, ili kusindikizia hicho ulicho kiandika. Kinyume na hapo nitaona ni porojo tu kutoka kwa vijana wa ACT Wazalendo
Lissu ashauza chadema habari kwisha kabisa, amekuwa ndumila kuwili ili apate kurudi tanzania aishi salama viongozi hawa watanganyika hawaaminiki hata kidogoMie ninachofurahia zaid ni kuwa ni rahisi sana Chadema kushirikiana na CCM au ACT kushirikiana na CCM kuliko ACT na Chadema kushirkiana
Chuki ya wanachadema kwa ACT ni kubwa kuliko kwa CCM na chuki ya ACT kwa Chadema ni kubwa kuliko waliyonayo kwa CCM
Ccm wakikutana na ACT chadema wananuna na CCM wakikutana na Chadema ACT wananuna kwa kifupi kila mmoja anaona fahari kukutana na CCM
Subiri Matusi tuMaalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?