Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Chadema ilishapoteza Dira long time agoMbowe mwenyewe alichemka kwa lowasa kumkaribisha cdm, lisu ni habari nyingine ndiomaana alipigwa risasi
Chadema ilishapoteza Dira long time agoMbowe mwenyewe alichemka kwa lowasa kumkaribisha cdm, lisu ni habari nyingine ndiomaana alipigwa risasi
😂😂😂 na wameshindwa kabisa kuelewanaKwa lugha nyingine hapo ni kwamba, ccm ina wake wawili.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Lissu amefika bei maamae zake ashauza chama zamani sasa rasmi anakuwa ndumilakuwiliKwa nini hiki kitu kinawaumiza sana sana kiasi hiki?
Kwa jinsi act na na chadema wanavyobehaveNa kwa nini usiseme "kwa lugha nyingine hapo ccm ina vidume wawili"
Maana hakuna asiye fahamu kwa sasa chi chi emu ni chama cha wanawake!
sasa risasi ashapoa ameuza chama anatafuta nusura ya kurudi tanzania kuona watoto na familia yake ameona ajipendekeze kwa mama, wabongo ni waongo sana uaminifu kwao ni mwiko, wamekuwa kama wanawake malayaMbowe mwenyewe alichemka kwa lowasa kumkaribisha cdm, lisu ni habari nyingine ndiomaana alipigwa risasi
Tatizo la ACT Wanataka wao ndio waonekane WAMEWEZESHA MAZUNGUMZO ya LISSU NA RAISMaalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?
Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?
CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!
Naomba kutanguliza shukurani.
View attachment 2121894
View attachment 2121896
Tundu lissu huwa anafeli sana kisiasa, jicho lake kwenye siasa halioni mbali hata kidogo ni mzuri kwenye sheria lakini kisiasa angewaacha kina Mbowe, msigwa nadhan hawa wana mitazamo mizuri zaidi
Ni kwa vipi tusimuite Tundulisu ndumilakuwili?Tatizo la ACT Wanataka wao ndio waonekane WAMEWEZESHA MAZUNGUMZO ya LISSU NA RAIS
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkuu wa Nchi akutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Brussels!!...Kujadili mustkabali ya Nchi Yao na mengineo[emoji123][emoji123][emoji123]!!..Tupe report ya Seif na MagufuliMaalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?
Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?
CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!
Naomba kutanguliza shukurani.
View attachment 2121894
View attachment 2121896
Lissu hatari sana! Yaani hafla zote Bungeni, yeye alicheza muziki na Mh. Supika tu!
Kama vile Mdee na Bulaya hawakuwepo🤣Lissu hatari sana! Yaani hafla zote Bungeni, yeye alicheza muziki na Mh. Supika tu!
"Maalimu Seif alienda kuonana na Magufuli Ikulu Magogoni"Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?
Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?
CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!
Naomba kutanguliza shukurani.
View attachment 2121894
View attachment 2121896
Maalim kaheshimika hasa na wana-Chadema baada ya kufa lkn kipindi anakutana na uncle Magu pale Magogoni BAVICHA walimdhihaki sana ila Lissu kaomba na kukutana na chifu Hangaya, BAVICHA wapo kimyaaaMimi sina Kiongozi Bwashee! Nilitamani tu uweke huo ushahidi wa hizo kejeli zilizo tolewa na hao Chadema kipindi hicho dhidi ya Maalim!
Maana ninacho kifahamu mimi, Maalim Seif aliheshimika na kuaminiwa, na hata sasa anaheshimika na Wapenda mabadiliko wengi nchini.
Ungesema Zitto, ningeamini. Ila siyo Maalim Seif.
Muulize huyo kiongozi wenu wa chama cha upinzani Brussels kwanini aliwakataza viongozi wenzake huko Tanzania kukutana na Rais samia kwenye ule mkutano na vyama vya upinzani badala yake yeye jana akaamua kupiga magoti na kukutana naye kule Brussels?Mkuu wa Nchi akutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Brussels!!...Kujadili mustkabali ya Nchi Yao na mengineo[emoji123][emoji123][emoji123]!!..Tupe report ya Seif na Magufuli

Maalim kaheshimika hasa na wana-Chadema baada ya kufa lkn kipindi anakutana na uncle Magu pale Magogoni BAVICHA walimdhihaki sana ila Lissu kaomba na kukutana na chifu Hangaya, BAVICHA wapo kimyaaa
Wewe unayetoa huu ushauri hata hujawahi kuwa balozi wa nyumba kumi, mwezio yuko kwenye siasa muda mrefu na mpaka amewahi kugombea urais na kumbimbiza JPM mchaka mchaka...Tundu lissu huwa anafeli sana kisiasa, jicho lake kwenye siasa halioni mbali hata kidogo ni mzuri kwenye sheria lakini kisiasa angewaacha kina Mbowe, msigwa nadhan hawa wana mitazamo mizuri zaidi
Lissu aliwakataza wenzake wasikutane na mama kwenye ule mkutano wa karibuni yeye kaenda kumpigia magoti belgium., maamae tutegemee ya kina halima mdee kesha tundu lissu amefika bei rasmi, Tanganyika hakuna viuongozi waaminifu hela tu ndiyo inayozungumuza"Maalimu Seif alienda kuonana na Magufuli Ikulu Magogoni"
"Samia alienda Ubelgiji kuonana na Tundu Lisu"
Maalimu Seif alikuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT wakati TL ni Makamu mweneykiti wa CDM.
Kuna utofauti mkubwa sana sana kama umbali toka ukuta wa Mbingu na ardhi.. by the way CCM na ACT ni Baba na Mtoto hivyo siyo vibaya Mtoto akimfuata Baba nyumbani kwake kumlilia shida zake
Cha ajabu serikali ya ccm nawang'ang'ania wale kovid 19 kule mjengoniChadema ilishapoteza Dira long time ago