Mohamed millanzi
Member
- May 20, 2017
- 51
- 18
Chadema ndivyo walivyo.Wakifanya wao lipo sawa .Jambo hilohilo wakifanya ACT utasikia ccm B.Ah yaani wanajidhalilisha sana.
Mimi sasa naacha kabisa kuwazingatia.Maana hawaeleweki wanasimamia nini.Zitto kaza mwendo watz wameanza kukuamini na wamejua madalali wa siasa ni kina nani.