Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

Mkuu kuteseka na hili hakutawasaidia lolote
 
Lissu ashauza chadema habari kwisha kabisa, amekuwa ndumila kuwili ili apate kurudi tanzania aishi salama viongozi hawa watanganyika hawaaminiki hata kidogo
Kwani mbona hamsemi kama chichiemu ilishauzwa zamaaani kabisa🤔
 
Mimi sina Kiongozi Bwashee! Nilitamani tu uweke huo ushahidi wa hizo kejeli zilizo tolewa na hao Chadema kipindi hicho dhidi ya Maalim!

Maana ninacho kifahamu mimi, Maalim Seif aliheshimika na kuaminiwa, na hata sasa anaheshimika na Wapenda mabadiliko wengi nchini.

Ungesema Zitto, ningeamini. Ila siyo Maalim Seif.

Acha uongo, CCM hii iliyompiga risasi Lissu au kupiga watu pemba kwenye uchaguzi mkuu.?. CCM Ina chuki ambayo haipimiki, Yani watu wanaiba uchaguzi mchana kweupe unasema hawana chuki na hakuna siku CHADEMA imeshirikina na CCM . Kilichotokea Ni Viongozi wawili kukaa na kujadiliana basi.
 
Ume ni quote vibaya bila shaka! Maana hakuna uhusiano. Na hata huo uongo sijui umeutoa wapi!

Mimi namuongelea Maalim Seif, wewe unaongelea mambo ya ccm! No connection at all!
 
Waliomshambulia Mh Lissu Kwa risasi tayari Mama kakabidhiwa majina yao. Wajiandae kisaikolojia na sio kuja humu kulialia. Aliyekuwa akiawapa kiburi yuko mavumbini.
 
Waliomshambulia Mh Lissu Kwa risasi tayari Mama kakabidhiwa majina yao. Wajiandae kisaikolojia na sio kuja humu kulialia. Aliyekuwa akiawapa kiburi yuko mavumbini.
Jiandae kwa Lissu kuteuliwa balozi, chadema hamna bei
 
Siasa za Tz wanoumizwa zaidi ni wafuasi fuata upepo maana wanajikuta hawana comment,TL Leo kakutana na SSH,ingetokea amepita bila kukutana naye story ingekuwa TL ni strong habembelezi,leo kakutana naye kila mtu anapongeza.

Haya mavyama yanawapa stress tu
 
Muulize huyo kiongozi wenu wa chama cha upinzani Brussels kwanini aliwakataza viongozi wenzake huko Tanzania kukutana na Rais samia kwenye ule mkutano na vyama vya upinzani badala yake yeye jana akaamua kupiga magoti na kukutana naye kule Brussels?
Je mustakbal ni upi kwamba ameshafikia bei?
Unajua siasa vyema au wewe ni Mshabiki lialia Tu!!..Tunaomba mwenzetu ana changamoto za kisheria asamehe!!..Kusamehana kupo!!..Isingekua kelele zenu Mbowe angekua Uraia!!..Watu wako Ulaya Wana Kula Kuku huko!!..Ni ngumu sana
 
Katika chama ambacho watanzania tunaomba usiku na mchana kisishike madaraka basi ni hiki chadema.....kina watu wa hovyo sana. Angalia hiyo post ya kwanza; 99/% wapo hivyo. Kuna nini hapo?
 
Pale ufipa hapakaliki Sasa hivi, wanaidai Lissu amewasaliti, martin Maranja Masese anafungasha mizigo kurudi Tarime baada ya kula Hela za chama akisingizia eti anaripoti kesi twitter, amekaa Dar kwa mwaka mzima, ametelekeza mke na watoto tarime
 
Kama sio msongo wa mawazo, basi una mtindio wa ubongo…. uwe unakunya asubuhi ili kupunguza makasiriko.
 
Maalim Seif alivyoenda kuonana na Magufuli CHADEMA walimsema sana maalim seif na kumuita msaliti na MNAFIKI wa demokrasia na wa vyama vya Upinzani Tanzania., lakini mbona Style aliyoonana Maalim Seif na Magufuli ndiyo Style ile ile ya Tundu Lissu Brussels kule Belgium aliyoomba mwenyewe kukutana na Mama?

Je, Tundu Lissu ni msaliti? ni Mnafiki? amepetikiwa na kusahau alivyokuwa akimnanga maalim Seif kukutana na Magufuli Ikulu? au tuseme ulikuwa ni wivu kwa vile wao walikuwa hawajapata ile nafasi?

CHADEMA hawa tuwajuwao ndio kweli? Hivi macho ya Watanzania na upinzani kwa ujumla yana giza kiasi gani kuona kitendo hicho hicho kinafanywa na kiongozi mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ndio kile alichoma Maalim Seif? - What a coincidence!

Naomba kutanguliza shukurani.

View attachment 2121894
View attachment 2121896
Ni ngumu sana kumwelewa mtu anayelinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu. JPM alisema anajua anapoipeleka nchi na hajaribiwi (akijifananisha na Mungu). SSH anasema yeye ni binadamu kama wengine na yuko tayari kusikiliza mawazo mbadala.
 
Lissu amefika bei maamae zake ashauza chama zamani sasa rasmi anakuwa ndumilakuwili
Kikao kimewaudhi sana lakini hamna namna, maslahi ya nchi lazima yawe juu ya maslahi binafsi ya waroho wachache.
 
Back
Top Bottom