Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

Mbowe mwenyewe alichemka kwa lowasa kumkaribisha cdm, lisu ni habari nyingine ndiomaana alipigwa risasi
sasa risasi ashapoa ameuza chama anatafuta nusura ya kurudi tanzania kuona watoto na familia yake ameona ajipendekeze kwa mama, wabongo ni waongo sana uaminifu kwao ni mwiko, wamekuwa kama wanawake malaya
 
Tatizo la ACT Wanataka wao ndio waonekane WAMEWEZESHA MAZUNGUMZO ya LISSU NA RAIS

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Tundu lissu huwa anafeli sana kisiasa, jicho lake kwenye siasa halioni mbali hata kidogo ni mzuri kwenye sheria lakini kisiasa angewaacha kina Mbowe, msigwa nadhan hawa wana mitazamo mizuri zaidi
​
 
Mkuu wa Nchi akutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Brussels!!...Kujadili mustkabali ya Nchi Yao na mengineo[emoji123][emoji123][emoji123]!!..Tupe report ya Seif na Magufuli
 
"Maalimu Seif alienda kuonana na Magufuli Ikulu Magogoni"

"Samia alienda Ubelgiji kuonana na Tundu Lisu"

Maalimu Seif alikuwa Mwenyekiti wa chama cha ACT wakati TL ni Makamu mweneykiti wa CDM.

Kuna utofauti mkubwa sana sana kama umbali toka ukuta wa Mbingu na ardhi.. by the way CCM na ACT ni Baba na Mtoto hivyo siyo vibaya Mtoto akimfuata Baba nyumbani kwake kumlilia shida zake
 
Maalim kaheshimika hasa na wana-Chadema baada ya kufa lkn kipindi anakutana na uncle Magu pale Magogoni BAVICHA walimdhihaki sana ila Lissu kaomba na kukutana na chifu Hangaya, BAVICHA wapo kimyaaa
 
Mkuu wa Nchi akutana na Kiongozi wa chama cha Upinzani Brussels!!...Kujadili mustkabali ya Nchi Yao na mengineo[emoji123][emoji123][emoji123]!!..Tupe report ya Seif na Magufuli
Muulize huyo kiongozi wenu wa chama cha upinzani Brussels kwanini aliwakataza viongozi wenzake huko Tanzania kukutana na Rais samia kwenye ule mkutano na vyama vya upinzani badala yake yeye jana akaamua kupiga magoti na kukutana naye kule Brussels?
Je mustakbal ni upi kwamba ameshafikia bei?
 
Ndiyo maana nikasema lifukuliwe basi hilo kaburi ili tujiridhishe, kama kweli hao Bavicha walimdhihaki huyo Maalim Seif! Bahati mbaya mimi siyo mtaalamu.
 
Sasa nimethibitisha kwanini waTanzania wengi hatuwezi kujikwamua hata kwenye mambo madogo tu. Nalisema hili kwa ujumla, sisemi wote tuko hivo. Ninakumbuka haya mambo yalivoshabikiwa;
1. Mbowe kumwomba Rais katika sherehe za Mei Mosi 2021 kukutana na wanasiasa ili kuiponya nchi. Ikaonekana kasema cha maana.
2. Upande wa CCM kukataa ombi hilo kwa kukebehi kuwa hakuna tena nafasi ya kunywa chai ikulu na kupiga picha.
3. Maalim Seif kukutana na JPM na kuzungumza, ikaonekana Seif amekomaa kisiasa. Kukwepwa kwa Chadema na JMP ikaonekana poa.
4. Chadema kugomea mkutano wa vyama vya siasa na vyombo vya serikali ambapo Tume ya Kupendekeza iliundwa. Chadema kuonekana alifanya vema.
5. Watu wengi kupendekeza Mbowe aombe msamaha ili aachiwe. Dhumuni la pendekezo ni kudhalilisha nafsi ya Mbowe ili apewe masharti ya msamaha ambayo huenda yangemuondoa kabisa katika siasa.

Kwa kifupi wengi tunakosa uwezo wa kutambua umuhimu au faida za wakati (time lapse), mabadiliko (changing situations), na sababu (compelling reasons). Tunadhani muda, mabadiliko na sababu ni vitu static and written in stone!! Tunakosea sana!

Change is the only permanent thing!! Ni kama CCM walipenda uhasama uendelee kutamalaki lakini yeyote aliyesoma kitabu cha Tsu Nzu "The Art of War" atakuwa amesoma mstari huu "...... during war, prepare for peace and during peace prepare for war ....". Kila jambo litakuwa na mwisho, unachoweza kufanya ni kuathiri huo mwisho na sio kuuzuia.

Ninadhani ni jambo la afya kwa Rais kukutana na Lissu na ni jambo la ukomavu sana kwa Rais kukutana na mtu ambaye wengi walipotezea nafasi zao kwa kwenda tu kumwona hospitali akiwa mgonjwa kipindi kileeeeee.
 
Tundu lissu huwa anafeli sana kisiasa, jicho lake kwenye siasa halioni mbali hata kidogo ni mzuri kwenye sheria lakini kisiasa angewaacha kina Mbowe, msigwa nadhan hawa wana mitazamo mizuri zaidi
Wewe unayetoa huu ushauri hata hujawahi kuwa balozi wa nyumba kumi, mwezio yuko kwenye siasa muda mrefu na mpaka amewahi kugombea urais na kumbimbiza JPM mchaka mchaka...
 
Lissu aliwakataza wenzake wasikutane na mama kwenye ule mkutano wa karibuni yeye kaenda kumpigia magoti belgium., maamae tutegemee ya kina halima mdee kesha tundu lissu amefika bei rasmi, Tanganyika hakuna viuongozi waaminifu hela tu ndiyo inayozungumuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…