Kwa Vidhibiti hivi CHADEMA wamepatwa na nini?

Mkuu kuteseka na hili hakutawasaidia lolote
 
Lissu ashauza chadema habari kwisha kabisa, amekuwa ndumila kuwili ili apate kurudi tanzania aishi salama viongozi hawa watanganyika hawaaminiki hata kidogo
Kwani mbona hamsemi kama chichiemu ilishauzwa zamaaani kabisa🤔
 

Acha uongo, CCM hii iliyompiga risasi Lissu au kupiga watu pemba kwenye uchaguzi mkuu.?. CCM Ina chuki ambayo haipimiki, Yani watu wanaiba uchaguzi mchana kweupe unasema hawana chuki na hakuna siku CHADEMA imeshirikina na CCM . Kilichotokea Ni Viongozi wawili kukaa na kujadiliana basi.
 

Ume ni quote vibaya bila shaka! Maana hakuna uhusiano. Na hata huo uongo sijui umeutoa wapi!

Mimi namuongelea Maalim Seif, wewe unaongelea mambo ya ccm! No connection at all!
 
Waliomshambulia Mh Lissu Kwa risasi tayari Mama kakabidhiwa majina yao. Wajiandae kisaikolojia na sio kuja humu kulialia. Aliyekuwa akiawapa kiburi yuko mavumbini.
 
Waliomshambulia Mh Lissu Kwa risasi tayari Mama kakabidhiwa majina yao. Wajiandae kisaikolojia na sio kuja humu kulialia. Aliyekuwa akiawapa kiburi yuko mavumbini.
Jiandae kwa Lissu kuteuliwa balozi, chadema hamna bei
 
Siasa za Tz wanoumizwa zaidi ni wafuasi fuata upepo maana wanajikuta hawana comment,TL Leo kakutana na SSH,ingetokea amepita bila kukutana naye story ingekuwa TL ni strong habembelezi,leo kakutana naye kila mtu anapongeza.

Haya mavyama yanawapa stress tu
 
Unajua siasa vyema au wewe ni Mshabiki lialia Tu!!..Tunaomba mwenzetu ana changamoto za kisheria asamehe!!..Kusamehana kupo!!..Isingekua kelele zenu Mbowe angekua Uraia!!..Watu wako Ulaya Wana Kula Kuku huko!!..Ni ngumu sana
 
Katika chama ambacho watanzania tunaomba usiku na mchana kisishike madaraka basi ni hiki chadema.....kina watu wa hovyo sana. Angalia hiyo post ya kwanza; 99/% wapo hivyo. Kuna nini hapo?
 
Pale ufipa hapakaliki Sasa hivi, wanaidai Lissu amewasaliti, martin Maranja Masese anafungasha mizigo kurudi Tarime baada ya kula Hela za chama akisingizia eti anaripoti kesi twitter, amekaa Dar kwa mwaka mzima, ametelekeza mke na watoto tarime
 
Pale ufipa hapakaliki Sasa hivi, wanaidai Lissu amewasaliti, martin Maranja Masese anafungasha mizigo kurudi Tarime baada ya kula Hela za chama akisingizia eti anaripoti kesi twitter, amekaa Dar kwa mwaka mzima, ametelekeza mke na watoto tarime

Kama sio msongo wa mawazo, basi una mtindio wa ubongo…. uwe unakunya asubuhi ili kupunguza makasiriko.
 
Ni ngumu sana kumwelewa mtu anayelinganisha mlima kilimanjaro na kichuguu. JPM alisema anajua anapoipeleka nchi na hajaribiwi (akijifananisha na Mungu). SSH anasema yeye ni binadamu kama wengine na yuko tayari kusikiliza mawazo mbadala.
 
Lissu amefika bei maamae zake ashauza chama zamani sasa rasmi anakuwa ndumilakuwili
Kikao kimewaudhi sana lakini hamna namna, maslahi ya nchi lazima yawe juu ya maslahi binafsi ya waroho wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…