Mohamed millanzi
Member
- May 20, 2017
- 51
- 18
Amkimbize na mama sasa, yeye mwenyewe automatically kaingia mtegoni, si alisema matatizo yake yataamuliwa na mataifa ya ulaya kuiwekea vikwazo tanzania mbona amerudi kupiga magoti kwa mama? kwisha habari yenuWewe unayetoa huu ushauri hata hujawahi kuwa balozi wa nyumba kumi, mwezio yuko kwenye siasa muda mrefu na mpaka amewahi kugombea urais na kumbimbiza JPM mchaka mchaka...
Kama ulivyoamini kwamba MAGUFULI ni mzalendo asiyependa rushwa wakati alinunua maghorofa ya NIC huko dodoma kwa shl laki 6 kila moja mpaka anakufa hajamaliza kulipaMimi siwashangai chadema,
Ila nawashangaa sana mnaowachulia serious hawa watu!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Magufuli ni mzalendo wa kweli Afrika nzima, huwezi kumlinganisha na takataka yeyote.Kama ulivyoamini kwamba MAGUFULI ni mzalendo asiyependa rushwa wakati alinunua maghorofa ya NIC huko dodoma kwa shl laki 6 kila moja mpaka anakufa hajamaliza kulipa
Siwezi kunywa sumu kwa maneno yanayotoka kwenye kichwa cha "fyatu" unamlinganisha huyo dictator uchwara aliyeamini kwenye ghiriba na UONGO na kina nyerere???Magufuli ni mzalendo wa kweli Afrika nzima, huwezi kumlinganisha na takataka yeyote.
Hutaki kunywa sumu
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ni kawaida ya kiongozi akikubana kwenye mishe zako za kijanja janja unaanza kumwona ni dikteta, na mwongoSiwezi kunywa sumu kwa maneno yanayotoka kwenye kichwa cha "fyatu" unamlinganisha huyo dictator uchwara aliyeamini kwenye ghiriba na UONGO na kina nyerere???
Hayo ni majibu mepesi sana kwa hoja nzito .... alimbana nani huyo dictator wako?Ni kawaida ya kiongozi akikubana kwenye mishe zako za kijanja janja unaanza kumwona ni dikteta, na mwongo
Magu hawezi kuwa kiongozi bora kwa wahuni
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Kwa kuwa uwezo wako wa kuona ni mwisho wa pua zako tu ndio maana unasema mandege! Ila kwa sisi wenye akili kiona mbali tunaona hizo ni vitegauchumi!Hayo ni majibu mepesi sana kwa hoja nzito .... alimbana nani huyo dictator wako?
Niambie ni kiongozi gani wa Afrika anayeamini kwenye haki alishawahi kununua mandege bila kupata ridhaa ya bunge?
Nenda kaangalie wastaafu wanavyohangaikia pensions zao kwa upuuzi wa magufuli kuunganisha mifuko ya jamii?
Huo nao ni UZALENDO?
Acha porojo zako wewe
Huo ndio ukweli! Chadema kwa sasa imeishiwa pumzi. Lisu amekutana na dada yake nyie huku mnampongeza eti Lisu akili kubwa. Lisu anapigania maslahi yake ya ubunge na kuomba passport yake ilioibiwa nyie huku mnashangiria.Fukua hilo kaburi, ili kusindikizia hicho ulicho kiandika. Kinyume na hapo nitaona ni porojo tu kutoka kwa vijana wa ACT Wazalendo
Huo ndio ukweli! Chadema kwa sasa imeishiwa pumzi. Lisu amekutana na dada yake nyie huku mnampongeza eti Lisu akili kubwa. Lisu anapigania maslahi yake ya ubunge na kuomba passport yake ilioibiwa nyie huku mnashangiria.