zamani sio ya kuiongelea hata, kidogo, tena uchepukaji wake ulikuwa wa kibabe, mtemi anakuja we unatoka unamuacha ndani na mkeo, anafanya anachojua yeye huko ndani we unakaa nje unaskilizia, akitoka hapo anaingia nyumba inayofuata, yaani kijiji kizima wake zenu ni wake zake akiwahitaji...mambo gani sasa ukizingatia zawani chupi ilikuwa hamna watu walimalizana sana kwenye makorongo, visimani, shamba huko, kwanza mnazungumzia zamani gani maana labda sijaelewa vizuri, kama ni zamani ile mgeni wa kimasai akija kwako achomeka mkuki nje ili mwenye nyumba ukija uje kuna njemba ipo ndani, aisee zamani ile wachepukaji walikuwa wababe kuliko sasa