Kwa vijana ni wachache sana, ila wazee wetu wengi waliweza

Kwa vijana ni wachache sana, ila wazee wetu wengi waliweza

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,235
Reaction score
5,854
1d9363cd5de0bd974f3d8c05bdbe034d.jpg
 
Tena zamani ilikuwa balaa tupu juzi tu hapa tumemzika babu wake 6 watoto 22 walokuja msibani 6 yaani hao ni wasio rasmi na wana familia zao

Oooowh, kwa hiyo wazee wetu walikuwa wachepukaji sana eti eeh...?

images


Kwa sababu kufikia this level sio mchezo aisee.
 
Oooowh, kwa hiyo wazee wetu walikuwa wachepukaji sana eti eeh...?

images


Kwa sababu kufikia this level sio mchezo aisee.
Walichepuka sana sema wakifikia umri Fulani wakupoteza nguvu ndo anamchagua mmoja wa kuzeeka nae
 
WALICHEPUKA SANA ILA MFUMO DUME ULISAIDIA KULINDA NDOA ZAO

Kwa hiyo mkuu haki sawa wanazozitaka wanawake kwa sasa ndio sababu kuu ya kuchepuka right...?

Ukimaanisha kuwa wanawake ndio chanzo au sjakupata asee...!
 
Hebu nipe muhtasari kwanza wa yanayojiri hapa

Utupe uzoefu wajukuu zako kipi kilichosaidia relationships nyingi kudumu kwa muda mref ukilinganisha na hizi za wajukuu zenu kwa nini zinaishiwa pumzi muda mfupi sana.
 
zamani sio ya kuiongelea hata, kidogo, tena uchepukaji wake ulikuwa wa kibabe, mtemi anakuja we unatoka unamuacha ndani na mkeo, anafanya anachojua yeye huko ndani we unakaa nje unaskilizia, akitoka hapo anaingia nyumba inayofuata, yaani kijiji kizima wake zenu ni wake zake akiwahitaji...mambo gani sasa ukizingatia zawani chupi ilikuwa hamna watu walimalizana sana kwenye makorongo, visimani, shamba huko, kwanza mnazungumzia zamani gani maana labda sijaelewa vizuri, kama ni zamani ile mgeni wa kimasai akija kwako achomeka mkuki nje ili mwenye nyumba ukija uje kuna njemba ipo ndani, aisee zamani ile wachepukaji walikuwa wababe kuliko sasa
 
Mi naweza afiki siamini kama tabia asili za mwanaume zimebadilika sana ila kilichopo sasa na kufanya mambo yawe hadharani sana ni teknolojia.

Huwezi kwepa matumizi ya simu maana ndio njia nyepesi ya kuwasiliana na hawara wako, mbaya zaidi mfumo jike ndio umetawala sana zama hizi mambo ya haki sawa hivyo mkeo akijua unachepuka aidha kakuta unaongea na simu na malaya wako au chats ili muende sawa nae anatafuta kolo yoyote anaruka nae!

Shida ukijua nae kakulipizia unaumia kufa, girls weren't meant to overpower us!
 
Back
Top Bottom