Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena zamani ilikuwa balaa tupu juzi tu hapa tumemzika babu wake 6 watoto 22 walokuja msibani 6 yaani hao ni wasio rasmi na wana familia zao
Walichepuka sana sema wakifikia umri Fulani wakupoteza nguvu ndo anamchagua mmoja wa kuzeeka naeOooowh, kwa hiyo wazee wetu walikuwa wachepukaji sana eti eeh...?
![]()
Kwa sababu kufikia this level sio mchezo aisee.
WALICHEPUKA SANA ILA MFUMO DUME ULISAIDIA KULINDA NDOA ZAOWalichepuka sana sema wakifikia umri Fulani wakupoteza nguvu ndo anamchagua mmoja wa kuzeeka nae
Ukali wa kupindukiaWALICHEPUKA SANA ILA MFUMO DUME ULISAIDIA KULINDA NDOA ZAO
Hebu nipe muhtasari kwanza wa yanayojiri hapa
Kuna nini hapa? Usajili au utumbuaji?