Sababu ya baridi labda 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️My poor njombe
How old are you..?
Kila mtu afuate type yake.Sipendi wanawake kila kitu kwake ruksa..
tena miezi hii ndo balaa 😆😆Sababu ya baridi labda 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Makatazo ni mengi mno, sema tu "USIOE"
AviatorKataa ndoa, ndoa ni forex trade.....
Ndoa ni kindege 😹Aviator
Ahahahah kwahiyo unatushauri nini kwa sisi vijana wapenda mashangingi.... Tuendelee au tuoe tuuNdoa ni kindege 😹
Kijana kataa ndoa, uoe ili mali zako ziliwe 😹Ahahahah kwahiyo unatushauri nini kwa sisi vijana wapenda mashangingi.... Tuendelee au tuoe tuu
Yaaani wakipatikana washauri kama nyie kumi tuu....Kijana kataa ndoa, uoe ili mali zako ziliwe 😹
Kila mtu afuate type yake.