Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

Umekosea chache sana. 2 ndo umeirudia 12, mengine hujakosea. Hao ni kwa kupigwa na kusepa tuuu.
 
Shekhe Walid anasemaga "Upungufu wa binadamu, ndio ukamilifu wake....".

Kila binadamu anamapungufu yake,Oa mwanamke utakayeweza kustahimili mapungufu yake.

Vigezo 39 huyo sio binadamu ni malaika.
 
Hiyo inaendana na ile kwamba usioe kwa kumuonea huruma.
Kwenye suala la ndoa, kupendana kunapaswa kutamkwa moja kwa moja, siyo kupitia. Kuonea huruma kuna tafsiri pana isiyohusu kupenda au kutopenda.

Iwekwe tu peke yake kupendana. Kwani kupendana ni suala la pande zote mbili.

Ova
 
Hapo cha kukazia ni USIISHI UKWENI. Bora hata ukalale nyumba haina madirisha ila sio kukaa ukweni.
Kuna jamaa alikuwa akiishi ukweni, bila haya na saa zingine analewa na kulewa na yule demu akimzingua na kichapo anakula... πŸ˜‚
 
Kubwa kuliko lote
"USIOE MWANAMKE KAMA SIO BIKRA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…