Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

Kwa vijana wa kiume wanaotafuta wachumba

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Neda Israel; kuna warembo wengi wa kishua mitaani

1728342227877.png
 
Watu wengi saizi wana mafua hauko peke yako
Wewe siyo kijana wa kiume anayetafuta mchumba; ni mzee kama mimi ila unataka kuwabania vijana wasipate fursa.
 
Hawachanganyi damu
Haujaikamilisha sentensi yako... 'Hawachanganyi damu na mwafrika'.

Waisrael wengi ni wazungu kutokana na kuchanganya damu kutoka mataifa mbali mbali ya Ulaya na Asia walikokimbiliaga uhamishoni.
 
Hawachanganyi damu
Hapana usiwe na wasiwasi; ni binadamu kabisa kama binadamu wengine tena wenye westeren culture ya kujichanganya, siyo kama waarabu. Zamani sana ningali kijana nusura nibanduke na mmoja wao wakati nikiwa Tokyo na yeye akiwa anatalii pale baada ya kumaliza mNational Service. Ni kwa vile nilikuwa na mjapani aliyekuwa ananibana sana.
 
Wewe siyo kijana wa kiume anayetafuta mchumba; ni mzee kama mimi ila unataka kuwabania vijana wasipate fursa.
Kwamba mi naweza nikawa sawa na Aucho?

Aloo nitake radhi mi bado kijana
 
Back
Top Bottom