Kwa vile Jakaya Kikwete yupo hai nina amani ya moyo, nalala usingizi unaisha

Kwa vile Jakaya Kikwete yupo hai nina amani ya moyo, nalala usingizi unaisha

Mungu ananilinda, Dkt samia suluhu ndo raisi wa nchi na Jakaya Kikwete baba wa taifa aliebaki yupo mzima wa afya wacha waandamane wataisoma number

Moja ya vitu nashukuru Mungu ni uwepo wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete, anayeijua ccm na serikali na viongozi wastaafu na wapinzani nje ndani na anajua namna ya kudeal nao vinginevyo wangemsumbua sana rais wetu dkt samia

Nashangaa leo raisi katokea Zanzibar tena kwa bahati mbaya watu wanaidai Tanganyika eti Tanganyika inanyonywa na Zanzibar, eti rais anaipendelea Zanzibar wakati tuna uwanja wa ndege chattle hauna matumizi kwa wakati huu,kwa umri wangu mtu aliekuwa anaidai Tanganyika ni mmoja tu ni marehemu Christopher Mtikila hawa wengine saivi ni wahuni tu walafi wa madaraka
Kama JK kafungua petrol station na katumia jina lako na hamlipi kodi stahiki, utaachaje kulala usingizi mnono?
 
Kama JK kafungua petrol station na katumia jina lako na hamlipi kodi stahiki, utaachaje kulala usingizi mnono?
Hiyo ni roho ya kimaskini Mkuu unamchukia mtu kwa kua tajiri naye si kawekeza ili apate pesa
 
Back
Top Bottom