Kwa vile Jakaya Kikwete yupo hai nina amani ya moyo, nalala usingizi unaisha

Uyo mzee mungu anampa maisha marefu ili aje aone maajabu
 
Kama JK kafungua petrol station na katumia jina lako na hamlipi kodi stahiki, utaachaje kulala usingizi mnono?
 
Kama JK kafungua petrol station na katumia jina lako na hamlipi kodi stahiki, utaachaje kulala usingizi mnono?
Hiyo ni roho ya kimaskini Mkuu unamchukia mtu kwa kua tajiri naye si kawekeza ili apate pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…