Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4.Public record ya Mbowe sasa ni:
a. Mla rushwa
b. Aliiuza CHADEMA kwa Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa Join the Chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee na wenzake
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. Na mwisho, lakini si wa umuhimu mdogo—SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji!