The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Nimekujibu na umeshajibiwa na wengi pia kwamba..Haya ni matusi, na nimesema siku zote sitaki matusi. Kama unaona huwezi jibu hoja kwa hoja, bali matusi, just skip the business!
➡Kama wewe ni kweli mwanachama wa CHADEMA ni sharti ujue, utambue na uamini kuwa Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti wako ndani ya chama chako...
➡ La hukubali, hujui, hutambui wala kuamini kuwa TL ndiye mwenyekiti wako, then you have two realistic options za kufanya:
OPTION #1:
Kama hukubali kuongozwa naye, maana yake una mwenyekiti wako mwingine in the darkness, na bila shaka huyo ni Freeman Mbowe. If that is the case, nasema tena nenda kwake na ndani ya familia yake akakuongoze huko. Kama hili ni tusi, basi na likung'ang'anie kwelikweli...
OPTION #2:
Milango iko wazi kwa kuamua mwenyewe uwe raia wa kawaida kwa kujivua uanachama wa CHADEMA mwenyewe kabla hujavuliwa.
Acha drama zako hapa. Nenda kwenye vyama vingine CCM, CUF, CHAUMA, ACT, TLP nk ukaongozwe huko..!!
Njoo tu kwa mama yangu ili akuongoze. Na ukimwona, haina shaka kuwa hata huyu utasema kwa domo lako hilohilo kwamba; "...sitaongozwa na mama huyu, NEVER..." kama ulivyoapa hivihivi kwa Tundu Lissu...Basi nami nasema kwa upole kabisa, Nitakwenda Kwa mama yako aniongoze, kwa Mbowe siendi katu
Ikitokea hivi, nakuambia tena, nenda kwa Freeman Mbowe akakuongeze kama sehemu ya familia yake