Aisee acha hizi, nyang'au wewe...
Kama ni ishu ya kutukana na kubagaza, Freeman Mbowe yeye mwenyewe personally ukiacha chawa wake, alimtukana na kumbagaza Tundu Lissu waziwazi mpaka jamii ilibidi kumkemea. Mfano:
1. Alitamba waziwazi na mchana kweupe kuwa Tundu Lissu ni masikini (mbangaizaji) asiye na pesa za kuendesha chama. Yeye ni tajiri, mwenye biashara kubwa ndani na nje ya nchi na amekikopesha chama TZS 250,000,000 (kukinunua/rushwa) ili kiendeshe uchaguzi..
2. Alitamba waziwazi na mchana kweupe kuwa "Tundu Lissu hana shukrani" eti tu kwa kuwa alishawahi kumuazima gari miaka mingi iliyopita na kisha kurufishiwa gari lake. Yaani ujinga na upuuzi huu wa Freeman Mbowe ulikuwa ukimtoka kinywani mwake kwa sababu tu alishajijengea dhana potofu na ya kijinga kichwani mwake kuwa "uenyekiti wa CHADEMA ni mali yake binafsi na familia yake" na yeyote ajaribuye kuutaka, atakuwa ni haini na muasi asiye na shukrani...!!
3. Alitamba waziwazi na mchana kweupe kuwa yeye ndiye aliokoa maisha ya Tundu Lissu mwaka 2017 baada ya kupigwa risasi na Magufuli. Hii obvious ilikuwa ni kufuru mbele ya Mungu Yehova.
MFANO;
➡ Yaani Freeman Mbowe alitaka watu waamini kuwa yeye ndiye alitoa ndege kumsafirisha kwenda Nairobi...?
➡ Yaani Freeman Mbowe alitaka watu tuamini kuwa yeye ndiye alitoa gari la yule mfanyakazi wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson by then mara baada ya ya shambulizi kumkimbiza Hospital Dodoma...?
➡ Yaani Freeman Mbowe anataka watu waamini kuwa yeye na chawa wake ndiyo walitoa mamia ya lita za damu kuokoa uhai wa TL kuanzia Dodoma, kisha Nairobi na mwisho Ubelgiji..?
➡ Yaani Freeman Mbowe anataka tuamini kuwa yeye na chawa wake kina nyie
Retired,
Yericko Nyerere, Bon Yai nk ndo mlimtunza Tundu Lissu na familia yake kwa fedha, chakula, hewa ya Oxygen nk kwa muda wote alipokuwa Nairobi (Kenya) na Leuvern - Ubelgiji...? Really..?
Hivi mtu sampuli ya Freeman Mbowe anaposimama mbele za watu kutoa hoja kama hizo☝🏻☝🏻☝🏻ili kutetea uenyekiti wake CHADEMA wewe na jamii tumwoneje eti? Si anaonekana ni mtu asiye na hoja kabisa na badala yake anaamua kujifucha nyuma ya vituko..?
NA NYIE CHAWA WAKE AMBAO NI KAMA HAMUAMINI KILICHOTOKEA NA BADO MNATAKA KUENDELEZA UJINGA NA UPUMBAVU, HIVI:
##Mnajua kuwa huku kutamba kwenu kwa namna hii ya kishetani juu ya mtu huyu (Tundu Lissu) ni kumkufuru Mungu Yehova na ni kujaribu kutwaa utukufu na heshima yake Mungu muumba...?
## Mnajua gharama ya adhabu yake..?
##Mnajua kuwa Mungu muumba ana wivu mkubwa sana na utukufu wake..?
## Hivi mnajua kuwa binadamu yeyote anayejaribu kujiweka mahali pa Mungu kwa kuchukua utukufu wake anaweza kukumbana na adhabu kali sana itakayoathiri hadi kizazi chake cha nne..?
Retired don't be carried by your stupidity and ego. It will cost very dearly...!!