Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4. Public record ya Mbowe sasa ni
a. Mla Rushwa,
b. Aliiuza chadema kwa
Your content
Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa join the chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee et al
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. And last but not least SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji
Sio kweli, ni BABA wa demokrasia maana uchaguzi uliofanyika hakuna kiongozi wa chama amewahi jaribu kufanya. Kaondoka na heshima kubwa mnoo hata sisi tuliompinga tumesahau yote na tunakumbuka demokrasia yake
Wewe, siyo Lisu, Lema and Co.Ltd, including Maria "space", Slaa and so many others! Kuna watu hutegemei to behave in such a manner, a rude worthless manner!
Watu tuliowajua na kuwategemea! I am very much disappointed
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4. Public record ya Mbowe sasa ni
a. Mla Rushwa,
b. Aliiuza chadema kwa
Your content
Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa join the chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee et al
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. And last but not least SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4. Public record ya Mbowe sasa ni
a. Mla Rushwa,
b. Aliiuza chadema kwa
Your content
Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa join the chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee et al
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. And last but not least SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji
Harafu Kuna mapunguani Huwa wanaacha shughuli zao wanaenda kuhangaika kupigia makelele Wanasiasa pasi kunufaila na chochote.
Kwa sisi tunaeona Michezo ya siasa labda utatukuta tuna enjoy humu mitandaoni lakini sio kuacha mambo yetu eti tunaenda kuoigni Wanasiasa pasi kunufaika,hiyo ni kazi ya wajinga.
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4. Public record ya Mbowe sasa ni
a. Mla Rushwa,
b. Aliiuza chadema kwa
Your content
Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa join the chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee et al
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. And last but not least SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji
Binafsi nimefurahia sana jinsi Machadema walivyodhariridhana Kwa sababu hizo tabia za kishenzi ndio wamekuwa Wana wa brand wan CCM miaka Mingi ,kuita watu chawa ,sijui kusema hawana akili kisa hawawaungi wao mkono .
Kama mliweza kumtukana mwenyekiti wenu wa miaka 21 ambao wengi wenu mmeijua chadomo kwenye kipindi cha uongozi wake, hakuna atakayesalimika na matusi yenu.
watu mnapenda kujisingiza sana, Lissu alimtetea zaidi Mbowe kuliko Mbowe alivyomkabili Lissu, mnapenda sana kutengeneza vistory ili ku justify ujinga wenu.
Mfano hiyo join the chain, inaonyesha dhhiri mlivyo visolokwinyo. Wene ndiye aliibua na kudai ilianzishwa na akina Lissu ili kumpindua Mbowe, Katibu Mkuu wenu akaitolea ufafanuzi halafu wewe leo unakuja na story zako mpya.
Kwenye Kampeni zenu ninyi mlimtukana sana Lissu, lakini kila anayemuunga mkono Lissu kila aliposimama alianza kwa kumshukuru na kumsifu Mbowe, haki ambayo kwenu timu ya upande mwingine ilikuwa ni tofauti kabisa
. Matokeo ni lissu kuibuka mshindi, msimsakame muacheni afanye kazi ya kukijenga chama hicho katika maono mapya. Huu si wakati wa kuandika upupu juu ya chama hicho
Hakuna kujitenga - Mwamba muda si mrefu baada ya mapumkiko yake atakuwa na kamanda Lissu kuhakikisha mkoloni mweusi anaachia madaraka ya Tanganyika yetu.
Why am I saying so?
1. Hazikuwa kampeni, lilikuwa ni kusudio la kupinduana, siyo kuchaguana kujenga chetu.
2. Why hazikuwa kampeni? Wana ndugu hawa kama tulivyokuwa tunawaona/tunawajua tulio pembeni, hamkupashwa kufika mliko fika mlivyobagazana, kukashifiana, kutukanana and the like....all directed against Mbowe
3. To say the least, it was CHARACTER ASSASSINATION..... character assassination focuses on the long-term characteristics of individuals rather than on short-term events or their public record
4.Public record ya Mbowe sasa ni:
a. Mla rushwa
b. Aliiuza CHADEMA kwa Samia
c. Mlamba asali
d. Mtafuta mkate na nusu
e. Mwizi wa Join the Chain
f. Malaya wa akina Halima Mdee na wenzake
g. Mla rushwa ya public figure Abdul
h. Na mwisho, lakini si wa umuhimu mdogo—SIYO MBANGAIZAJI, sisi ndiyo wabangaizaji!
Mbona tuliwaunga mkono kwa miaka 21. Kwa hili peke yake mbona hamridhiki, hata kuwashukuru wanachadema na wananchi kwa kuwaunga mkono kwa miaka yote hiyo?
Umeandika kama mtoto anaejifunza kutembea, ungeweka ushaidi kwenye kila shutuma ungeonekana wa maana sana.
Au wewe ukitaka Mbowe agombee na Odero Charles Odero pekee? Mbowe alikuwa anaambiwa madhaifu yake wakati wa kampeni ili wajumbe wajiamulie baada ya kupima hoja ila yeye akajikita kwa namna alivyomsaidia Lissu sasa unajiuliza alikuwa anatoa rushwa?
Kubalini Demokrasia mnayojipambanua kama Chama cha Demokrasia na Maendeleo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.