Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Yote hayo yamekuja iv majuzi miaka ile hayakuwepo eti Chura,Mara. Msambwanda, ila Mungu atusaidie sana me nahitaji mwanamke awe Normal kabisa kama alivyoumbwa na Mola kwa kuwa kila kitu kinasababu zake
Wanashawishika, kila mtu njiani ana chura yeye tu ndo awe kama mche wa sabuni teh lazma kigodoro kihusike
 
Cha muhimu ni kuwa na msimamo tu, ukitaka kufuata kila wanachotaka wanaume mwisho wa siku utajikuta umekuwa kikatoon.
Niko black mwembamba, nimeridhika na rangi yangu na ka shepu kangu though sio ka kutisha sana.
 
Wewe unavaa ipi?
 
Sidhani kama mara zote wanafanya hivo kwa ajili ya wanaume, huenda wanafanya tu kujiweka na mwonekano mzuri..... Si unajua tena msambwanda una raha yake
 
Sidhani kama mara zote wanafanya hivo kwa ajili ya wanaume, huenda wanafanya tu kujiweka na mwonekano mzuri..... Si unajua tena msambwanda una raha yake

Muonekano nafikiri ndio lengo kubwa, kuna baadhi ya nguo hazikai vizuri zinapunguza usmati, ukibust uongo!
 
alafu ukute ngoma imemnogea kwenye sherehe,kasahau kama kavaa masponchi anakatika hadi visponchi vinatoka sehemu yake
 
alafu ukute ngoma imemnogea kwenye sherehe,kasahau kama kavaa masponchi anakatika hadi visponchi vinatoka sehemu yake
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Yani huyo mdada niliemuona alivoku na heka heka anapita pita na vigodoro vyake alikua kituko kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…