Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
- #41
Watu watakula kama mchwa....Kwani hakuna misosi ya kula nakuinua kitonga,nahis wataalam wakalale maabara hapa kunafursa ...
Kuna haya mazoezi tu yanaitwa sijui squat, inasemekana yanaongeza makalio basi ni shida wadada wanakua kama chura huko gym, misambwanda inatesa wanawake