Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Khaaaa misambwanda ilishatupita kushoto
 
kweli kabisa wanaotushonea wenyewe ni maflat balaa
Mimi kwangu mke awe mpole, mwenye hekima, mcheshi, mbunifu wa maisha na mvumilivu hapa namuahidi kifo tu ndiyo separation. Kinyume chake simuelewi aisei..![emoji41]
 
Mimi nauza dawa za kumeza na sindano yani ukitumia siku 2 tu chura anarukaruka ofa Tsh2,000 yako[emoji1] [emoji1]
 
Mimi nauza dawa za kumeza na sindano yani ukitumia siku 2 tu chura anarukaruka ofa Tsh2,000 yako[emoji1] [emoji1]
rubii anauza bei ghali kumbe, zake laki mbili
Kwa bei hiyo utapiga bao asee hii biashara wateja ni wengi
 
rubii anauza bei ghali kumbe, zake laki mbili
Kwa bei hiyo utapiga bao asee hii biashara wateja ni wengi
Wateja wote waelekeze kwangu bei buku mbili mbili (Tshs2,000) nimejikita kidhati kwenye mapinduzi ya kuboresha mwili wa KE[emoji1] [emoji1] [emoji1] dawa zote zipo
**msambwanda ukiwa mkubwa na mvuto unaongezeka**
Changamkieni fursa
 
Kuna mbinu yakuongeza msambwanda wanaipromoti insta

ugoro ,mafuta ya mzaituni ,amira ,ungawa tangawizi na miski

unachanganya inaongeza msambwanda


Kwanini kinadada wasitumie hiyo mbinu jamanii
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] lakini huu Uzi umenikumbusha binti mmoja tulisoma nae anavaa vigodoro hatari alafu picha zake insta full kugeuza kalio


Nawakware wanacomment Dada unakashape kazuri

Huwa nachekaga sana
 
Ila jamani hii kitu ina maajabu mie kabla sijapata mtoto nilikua flat sreen kwa jinsi nilivyokua sikutegemea kama nitakuwa na msambwanda siku hizi suruali navaa kwa taabu nikiwa miji mikubwa maana wengi wahawajali lkn nikiwa Ngulyati (kwa akina Nyani Ng'abu sithubutu maana ni hamsini, hamsini, mia.
 
Hizo sponge zipo, mdada mwingine hapa juzi kanionesha duh tight lina mahips teh nikamuuliza kwahiyo ukifika kwa shem lake unasasambuaje, akasema bwana ake hajui hayo mambo anajua ni tight tu.....asee wanaume wanadorishiwa misamaki wakifika geto wanalishwa vidagaa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata me najiuliza sana inakuwaje mtu akivua nguo na kukutana na uso wa TV hizi za kisasa. Flaaast haina mwinuko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume wanakutana na mambo mengi sana pole yenu wanaume
 
Back
Top Bottom