Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kwa wadada ambao hamna "msambwanda".....

Kuna mbinu yakuongeza msambwanda wanaipromoti insta

ugoro ,mafuta ya mzaituni ,amira ,ungawa tangawizi na miski

unachanganya inaongeza msambwanda


Kwanini kinadada wasitumie hiyo mbinu jamanii
Cha ajabu muuzaji hana hata katako ka kwendea sokoni
 
Au wasivae kabisa . Ila wanawake tunakazi
Tena kubwa ya kusaka
1. Misambwanda
2. Manyonyo makubwa kama ya Thea wa maigizo
3. Mnaziunga papuchi utadhani mboga... ipo siku mtatia hadi pilipili kichaa ili tuzifurahie
 
A ni tight yenye kisponge ndani.
Ikivaliwa haikai vizuri, sponge inaweza kukaa upande hivo tako moja liwe juu, jingine chini, au sponge zikajikusanya kifupi haipendezi

B. Ni tight yenye matundu kama unavoiona inaitwa butty lifter nadhani.
Yenyewe haiongezi matako ila inafanya yawe na mwonekano mzuri make yanapigwa tu jeki
Hahaaaaaaaaaa... Daah hio ya butty lifter nilikua siijui
 
Wana kazi wanaotafuta kuwapendeza watu.
Hivi, kujibebesha vitu vyote hvo unatafuta nn na ili iweje? Kama ni kupendwa unataka wangapi wawe wako na ili iweje???
Mwanamke n kujiamini na kujikubali, kuna anayekupenda ulivyo hivyo.
Au vipi jaman?????????????????
Kabisa wanasema uzur wa ndege manyoya na uzuri wa mwanamke kujiamin Mimi sins huo msambwanda lakin napendwaa hivyo wadada tujue kwamba kila MTU anampenda amtakae sio kwa kuweka hayo masponji jaman tunaaibika
 
Back
Top Bottom