Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Mie bado napanda daladala nikija kumiliki nitaleta jibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanaume mzima unapewa lifti na demu
mbona siye tunawapa lift?acheni ujinga kama huu, kwani akikupa lift utakuwaje?
Nimeishashuhudia hii hali ya kinadada wanapodrive unakuta wanajiachia paja zao wazi mara kibao tu,hapa nimepata lifti kwenye Gari ya jirani yangu tunaelekea Posta.Kajiachia dah, hivi nikawaida yenu au.
Ndio leo nimeelewa kwa nn yule mrembo anaenipa lift hunifungulia mlango wa nyuma na mwanzo wa sfr mpk mwisho tupo Wawili tu!
Duh wewe kweli una PHD, nakubaliwengi wanakuwa bado wanawaza jinsi walivyopanua miguu usiku kwa hiyo wakiwa kwenye gari wanatanua miguu hatariiiii
Wengi wanapenda kujipanua na kurudisha viuno nyuma gauni au sketi fupi ikiwa imepanda juu ya mapaja.
wewe ungependa upewe lift na wanaume tu?utakua shoga ndo maana hutaki lift ya wanawake.mwanaume mzima unapewa lifti na demu
Tena ndo ukute na mini sketi yake ndo imenata na upaja husika ...mbona unaweza kataa kushuka pindi mtavyofika au utata tamani uondoke nao japo kwa picha tu ukaufaidi mbele kwa mbele.
Tena ukute upaja mng'ao aidha black beuty au white flani kama sio maji ya kunde na tuvinyweleo kwa mbaaaliii.....ngozi imenawiliiiii...
aahhahhaa wewe nikikupa lift utakataaaa
Nipe sikatai.
siyo dhambi ujue upaja wa kuku hata uwe nani lazima uangalie
Hahaha!!kweli mkuu huwa wanaacha wazi mapaja yao.Mie huwa nafaidi pale panapokuwa na jamu barabarani yaani kuwe kuna mistari miwilu ya gari uwiiiiiiii nikiwa kwenye haisi huwa nafaidi sana kwa kweli nikiwa nimekaa dirishani na ukute demu yupo karibu na dilisha la gari uwiiiiiiiiiiii!!
Kwenye daladala wale wanao achia nido nusu wazi wananitesa sana