Kwa wadada wenzangu: tuwe makini na aina hii ya wanaume.......

shida ni kwamba usanii kwenye mapenzi umekua sana.
na wasanii wamapenzi kila siku wanaupgrade mbinu zao
hivyo siku zote wapo hatua moja mbele
utafikiri wahalifu na polisi lol

kweli wapo...ni suala la kuwa makini tu kidogo na kuchukua muda coz wapo wanaotimiza ahadi wakishapata tunda ndo safari.....
 
We umewai kudanganywa? sijui kama wapo wanaume wanaodhamiria kutoka moyoni kuwa ngoja nikamdanganye Ms. Fulani!! Ahaa samani sana Michelle kumbe ni kwa wadada.

ha ha ha ha.....we si mwanaume,huwezi wafahamu hawa.....usijali hata wakaka wameruhusiwa kutoa maoni...l.o.l
 
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!

jamaa wa aina hii ndo waumini haswa wa ile methali
"anayetaka hachoki, hata akichoka keshapata"
 
Husninyo wewe ni he or she? wakati mwingine nikisoma comment zako naona unajibu kama mwanaume wakati mwingine kama mwanamke. samahani nauliza tu

ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...
 
shida ni kwamba usanii kwenye mapenzi umekuwa sana.
na wasanii wamepenzi kila siku wanaupgrade mbinu zao
hivyo siku zote wapo hatua moja mbele
utafikiri wahalifu na polisi lol

nimekupa thanks kwa kusema ukweli....yaani ukifikiri unajua wenzio wanajua kuwa unajua wanakuja na mbinu mpya....Mungu atusaidie...
 
jamaa wa aina hii ndo waumini haswa wa ile methali
"anayetaka hachoki, hata akichoka keshapata"

Hili ni kweli kwa kiasi kikubwa.....!!! unamtukana mtu,unabadilisha line,unafanya kila kitu....yupo tu pale pale....!!!
 
nahisi hili swali linamkera sana....ameulizwa mara nyingi sana....sijui kwanini kuna contradiction ya jinsia yake...ila kama sikosei alishasema yeye ni HE

mpenzi na wewe hujui jinsia yangu?
 
ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...

kumbe unatafuta mume my dear....unaonaje tuanzsihe li-thread letu.....ha ha ha ha.....pole kwa hiyo contradiction!!!
 
ha ha ha ha.....we si mwanaume,huwezi wafahamu hawa.....usijali hata wakaka wameruhusiwa kutoa maoni...l.o.l

Mi sijawai kudanganya tokea nizaliwe kwahiyo sijui inakuwaje umgangaye mtoto wa mtu! Ila wakati nipo shule pia nilikuwa nashangaa sana wasichana upenda sana wanaume wanaowadanganya, wanatembea nao nakuwaacha au kuwachanganya, nilikuwa nastaajabu sana, sisi ambao hatukuwa tunapenda mambo ya kudangaya wanawake tulikuwa hatuwapati kabisa; mpaka tulitunga usemi mmoja kuwa mwanamke mwalimu wake ni kipofu na husipomdanganya hakuelewi!! ebu jaribu nipa ufafanunuzi hapa maana hii nimeona mwenyewe wakati tupo wa ujana wangu.
 
kumbe unatafuta mume my dear....unaonaje tuanzsihe li-thread letu.....ha ha ha ha.....pole kwa hiyo contradiction!!!

ha ha ha! najua unataka tena ile kazi ya u hr...
Ngoja nimwambie lizzy anipe ujasiri wa kutangaza nia.
 
Ahsante kwa ushauri dear.
Huwa tunakurupukia mapenzi, yaani vitu vidogo tu tushadanganyika.
Umewasahau wanaume ving'ang'anizi. Yaani hao atakutongoza hata karne nzima ilimradi akupate.
Ninae mmoja wa hivyo tangu mwaka 2004.... Kha!!

MICHELLE NIMEKOPY COMMENT YAKE HII HAPO JUU IS IT SOUNDS LIKE HE? Labda awe anapenda kutambulika kama he, wakati ni she. hata huko nyuma amejichanganya mara nyingi ndio maana nauliza.
 
ha ha ha! Kumbe bado kuna contradiction ya jinsia yangu. Lol!
Gaga Mimi ni she. Mmh, hii contradiction isije nikosesha mchumba bure...

Thanx mydia, sasa hapa nimekwelewa si umeona na michelle alikuwa hajui ww wa jinsia gani japo yupo muda mrefu?
 
Thanx mydia, sasa hapa nimekwelewa si umeona na michelle alikuwa hajui ww wa jinsia gani japo yupo muda mrefu?

ha ha ha ha....my dear sisy....nilikuwa najua...sema mimi pia hunichanganya....nafurahi leo kasema ataacha kutuchanganya.....
 
ha ha ha! najua unataka tena ile kazi ya u hr...
Ngoja nimwambie lizzy anipe ujasiri wa kutangaza nia.

ha ha ha ha....umshanishtukia natafuta kibarua sio???? please naomba hiyo kazi....ya Lizzy nimempa top three achague mwenyewe mmoja...
 
Sitaki kusemea wadada wenzangu ila kwa namna moja au nyingine ulichokisema kuwa tukidanganywa tunakubali kirahisi kuliko tukiambiwa ukweli ni sawa....!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…