kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,576
Reaction score
20,183
hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
 
Attachments

  • IMG_3185.png
    IMG_3185.png
    1.2 MB · Views: 12
Kama Sandaland akiwa na connection kwa vigogo wengine serikalini, Makonda anaweza akabanwa wamalizane nje ya mahakama.

Kama ilivyotokea ile issue yao ya kugombea kiwanja na GSM.
 
jezi zilitoka jana/juzi
wazir akasema ni mbovu
leo akasema anaunda kamati ichunguze
sanda akasema anamburuza kortini waziri
kama wewe ni sandaland ungefanyaje?
Swali moja la kujiuliza....

Aliyeingia mkataba na Sandalamd ni Bashite< wizara au TFF??

Hapa naona kama serikali inaingilia maswala ya soka.... Rungu la CAF na FIFA kama naona linaandaliwa.
 
Swali moja la kujiuliza....

Aliyeingia mkataba na Sandalamd ni Bashite< wizara au TFF??

Hapa naona kama serikali inaingilia maswala ya soka.... Rungu la CAF na FIFA kama naona linaandaliwa.
kwa hali ilivyo
kila kitu kimemixiwa na siasa bongo
ndo maana wafanyabiashara wakubwa wengi wanaimba mapambio
sio kwamba wanapenda ila hawana namna
 
jezi zilitoka jana/juzi
wazir akasema ni mbovu
leo akasema anaunda kamati ichunguze
sanda akasema anamburuza kortini waziri
kama wewe ni sandaland ungefanyaje?
Manguo mengi ya Kariakoo maronya mabovu kwani uongo?! Labda kasema mbovu kulinganisha na jezi OG za Barcelona au Real Madrid. Kariakoo ni chaka la low quality products.Fact.
 
Manguo mengi ya Kariakoo maronya mabovu kwani uongo?! Labda kasema mbovu kulinganisha na jezi OG za Barcelona au Real Madrid. Kariakoo ni chaka la low quality products.Fact.
hata jezi za Simba nimenunua za misimu kadhaa
hazifanani na za nje zile
kwa kifupi ni kwamba uwezi produce quality ambayo soko haliwezi afford

ukileta jezi ya kuuza laki 5 hapa...wangapi wata afford??
sheria moja wapo ya biashara ni kuleta kitu ambacho wateja wako wanaweza kukinunua
ambao ni 70%
 
Yes. Ili uuze Tz inabidi uweke bei fulani ambayo inakulazimu ulete maronya,ni kweli. Kwahio ni ukweli jezi ni low quality kwasababu ulizotoa.
 
Waziri amekuja kwa gear kubwa sana, mfanyabiadhara akijichanganya inakula kwake, ndio maana amesema anampango wa kuchukua hatua za kisheria. Hiyo inaacha mwanya wa pande zote mbili kuona umuhimu wa kulimaliza hili jambo pembeni.

Ila kwa jinsi yule waziri alivyo na hulka yake ya kupenda sifa, hili sakata litafika mbali bila sababu yoyote ya maana.
 
biashara ya jezi ina hela sana, hasa ukizingatia mwakani kuna AFCON ,taasisis nyingi zitanunua jezi kwa staff wao ,hii pesa ndio waziri inamtoa hela
 
Kwa ufupi ni kwamba watoto wa mjini wame mtanga Makonda kwenye swala zima la tenda na utengenezaji wa Jezi za Taifa....jamaa alijipanga kupata chochote kupitia tender ya Jezi lakini vijana wa mjini waka mwai ....Sasa ndo anakuja na hoja za kishamba eti Jezi HAZINA quality...mara anaunda tume, uku watu washakula pesa wakina Mwana FA...na wengine...
Ishakula kwake ni Bora akapotezea tu iyo insue...akikomaa nayo inaweza ikamchafua zaidi.
 
biashara ya jezi ina hela sana, hasa ukizingatia mwakani kuna AFCON ,taasisis nyingi zitanunua jezi kwa staff wao ,hii pesa ndio waziri inamtoa hela
Atafune namna nzuri ya kupata portion ila sio kwa hivi vitisho na approach yake.
Hii ni kama anatangaza kwamba lazima awe sehem ya mchakato ili jambo liende, anatumia nguvu kubwa sana.
 
Back
Top Bottom