kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

Atafune namna nzuri ya kupata portion ila sio kwa hivi vitisho na approach yake.
Hii ni kama anatangaza kwamba lazima awe sehem ya mchakato ili jambo liende, anatumia nguvu kubwa sana.
sasa hiyo akili hana huyo mtu, huu mchongo ulikua mwepesi sana kwake ila kakosea, na alivyo na tamaa atatengeza jezi mpya we subiri, maana sandaland na tff hawawezi kuvunja mkataba
 
Hapo ntamwaga ugali na mboga Bora tukose wote
Nawaandikia CAF halafu nawa cc FIFA Bora tukose wote
Kuna muda hawa wapiga deal sijui wanawachukulia vibaya Sana wafanya biashara
 
sasa hiyo akili hana huyo mtu, huu mchongo ulikua mwepesi sana kwake ila kakosea, na alivyo na tamaa atatengeza jezi mpya we subiri, maana sandaland na tff hawawezi kuvunja mkataba
Angekua mjanja, hili jambo hata halikuhitaji nguvu nyingi lakini bado angeweza kuhakikisha hakosi chochote bila kutibuana na watu.
 
kwa hali ilivyo
kwenda mahakamani sio suluhisho
yaani labda mkubwa wake wa kazi aingiloe kati
Never underestimate nguvu ya mtu asiyetumia akili, huyo waziri wakimchekea atavuruga mambo sana wakikaa kinyonge.

Kama taratibu zote zimefuatwa na watu wakaingia mkataba, tume yanini tena?

Ajifunze kula na watu.
 
Yes. Ili uuze Tz inabidi uweke bei fulani ambayo inakulazimu ulete maronya,ni kweli. Kwahio ni ukweli jezi ni low quality kwasababu ulizotoa.
ni kweli kabisaa
na hilo nadhani pia bwana mkubwa aliyetoa hiyo kauli analijua
soko kubwa linaitaji cheap products ambayo inapelekea kuleta quality mbovu
 
ni kweli kabisaa
na hilo nadhani pia bwana mkubwa aliyetoa hiyo kauli analijua
soko kubwa linaitaji cheap products ambayo inapelekea kuleta quality mbovu
Hapo kama wemgine walivyosema kawekwa pembeni kwahio katafuta gear ya kuwaingia waliomtupa.
 
Kwa ufupi ni kwamba watoto wa mjini wame mtanga Makonda kwenye swala zima la tenda na utengenezaji wa Jezi za Taifa....jamaa alijipanga kupata chochote kupitia tender ya Jezi lakini vijana wa mjini waka mwai ....Sasa ndo anakuja na hoja za kishamba eti Jezi HAZINA quality...mara anaunda tume, uku watu washakula pesa wakina Mwana FA...na wengine...
Ishakula kwake ni Bora akapotezea tu iyo insue...akikomaa nayo inaweza ikamchafua zaidi.
anasema anachunguza hiyo tenda ilitolewaje...
hajui hapo anawachafua pia TFF
 
hata jezi za Simba nimenunua za misimu kadhaa
hazifanani na za nje zile
kwa kifupi ni kwamba uwezi produce quality ambayo soko haliwezi afford

ukileta jezi ya kuuza laki 5 hapa...wangapi wata afford??
sheria moja wapo ya biashara ni kuleta kitu ambacho wateja wako wanaweza kukinunua
ambao ni 70%
Mkuu jezi orijino mfano wa adidas , shabiki wa kawaida tanzania hawezi kununua, ile jezi moja tu ya adidas orijino ni zaidi ya laki na nusu
 
Makonda anataka kudanganya watu lini aliona kiwango cha hizi nguo zinauzwa Tanzania hizo nguo zipo sawa tu..
Jezi ya Liver ipo rand 3000 na truck rand 2000 kama Tsh 450,000 na truck la juu tu Tsh 300,000 Adidas hao.East gate Mall
20260831_111820.jpg
 
Nimeziangalia jersey kwenye duka la jirani nadhani ndio jersey Bora zaidi kuwahi kutengenezwa za team ya taifa
Labda kwa sababu hatujafika afcon wanaweza kuja na version nyingine ila hii ni nzuri sana
 
Nimeziangalia jersey kwenye duka la jirani nadhani ndio jersey Bora zaidi kuwahi kutengenezwa za team ya taifa
Labda kwa sababu hatujafika afcon wanaweza kuja na version nyingine ila hii ni nzuri sana
Kwa bei yetu zipo vizuri sana anataka jezi ya 50K iwe sawa na ya usd 200 sio kweli.
 
Nchi ilivyo sasa sheria azifuatwi, kila mwenye madaraka anaweza kufanya chochote kwa mwananchi wa kawaida na asifanywe kitu(kiongozi), kama anataka biashara iendelee aende kupiga goti tu.
 
hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
Anaweza shinda kama bakheresa alivyotajirika na ngano na national milling
 
Back
Top Bottom