Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
sasa hiyo akili hana huyo mtu, huu mchongo ulikua mwepesi sana kwake ila kakosea, na alivyo na tamaa atatengeza jezi mpya we subiri, maana sandaland na tff hawawezi kuvunja mkatabaAtafune namna nzuri ya kupata portion ila sio kwa hivi vitisho na approach yake.
Hii ni kama anatangaza kwamba lazima awe sehem ya mchakato ili jambo liende, anatumia nguvu kubwa sana.
Angekua mjanja, hili jambo hata halikuhitaji nguvu nyingi lakini bado angeweza kuhakikisha hakosi chochote bila kutibuana na watu.sasa hiyo akili hana huyo mtu, huu mchongo ulikua mwepesi sana kwake ila kakosea, na alivyo na tamaa atatengeza jezi mpya we subiri, maana sandaland na tff hawawezi kuvunja mkataba
Never underestimate nguvu ya mtu asiyetumia akili, huyo waziri wakimchekea atavuruga mambo sana wakikaa kinyonge.kwa hali ilivyo
kwenda mahakamani sio suluhisho
yaani labda mkubwa wake wa kazi aingiloe kati
jamaa anakurupuka sana ,kwa vitu vya kujipanga tuAngekua mjanja, hili jambo hata halikuhitaji nguvu nyingi lakini bado angeweza kuhakikisha hakosi chochote bila kutibuana na watu.
ni kweli kabisaaYes. Ili uuze Tz inabidi uweke bei fulani ambayo inakulazimu ulete maronya,ni kweli. Kwahio ni ukweli jezi ni low quality kwasababu ulizotoa.
Hapo kama wemgine walivyosema kawekwa pembeni kwahio katafuta gear ya kuwaingia waliomtupa.ni kweli kabisaa
na hilo nadhani pia bwana mkubwa aliyetoa hiyo kauli analijua
soko kubwa linaitaji cheap products ambayo inapelekea kuleta quality mbovu
anasema anachunguza hiyo tenda ilitolewaje...Kwa ufupi ni kwamba watoto wa mjini wame mtanga Makonda kwenye swala zima la tenda na utengenezaji wa Jezi za Taifa....jamaa alijipanga kupata chochote kupitia tender ya Jezi lakini vijana wa mjini waka mwai ....Sasa ndo anakuja na hoja za kishamba eti Jezi HAZINA quality...mara anaunda tume, uku watu washakula pesa wakina Mwana FA...na wengine...
Ishakula kwake ni Bora akapotezea tu iyo insue...akikomaa nayo inaweza ikamchafua zaidi.
katika hili swala kwa analysis fup naamini sio swala la pesa tuHapo kama wemgine walivyosema kawekwa pembeni kwahio katafuta gear ya kuwaingia waliomtupa.
Mkuu jezi orijino mfano wa adidas , shabiki wa kawaida tanzania hawezi kununua, ile jezi moja tu ya adidas orijino ni zaidi ya laki na nusuhata jezi za Simba nimenunua za misimu kadhaa
hazifanani na za nje zile
kwa kifupi ni kwamba uwezi produce quality ambayo soko haliwezi afford
ukileta jezi ya kuuza laki 5 hapa...wangapi wata afford??
sheria moja wapo ya biashara ni kuleta kitu ambacho wateja wako wanaweza kukinunua
ambao ni 70%
amuulize waziri aliyekuwepo emzi hizo, mh Ndumbaroanasema anachunguza hiyo tenda ilitolewaje...
hajui hapo anawachafua pia TFF
Kwa bei yetu zipo vizuri sana anataka jezi ya 50K iwe sawa na ya usd 200 sio kweli.Nimeziangalia jersey kwenye duka la jirani nadhani ndio jersey Bora zaidi kuwahi kutengenezwa za team ya taifa
Labda kwa sababu hatujafika afcon wanaweza kuja na version nyingine ila hii ni nzuri sana
Anaweza shinda kama bakheresa alivyotajirika na ngano na national millinghamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
dah ila kilichofanyika ni kibaya aiseeAnaweza shinda kama bakheresa alivyotajirika na ngano na national milling
Alifanyiwa 'fair' tu na Mkapa. Dunia ya tatu hakuna kitu kinaitwa kushinda kesi na kulipwa kiwanda cha SerikaliAnaweza shinda kama bakheresa alivyotajirika na ngano na national milling
Siku akitokea rais kichala anarudisha kiwanda chetu hahahadah ila kilichofanyika ni kibaya aisee