kwa wafanya biashara tu;ingekuwa wewe ni sandaland ungefanyaje?

Swali moja la kujiuliza....

Aliyeingia mkataba na Sandalamd ni Bashite< wizara au TFF??

Hapa naona kama serikali inaingilia maswala ya soka.... Rungu la CAF na FIFA kama naona linaandaliwa.
Hapo CAF wala FIFA hawahusiki..
 
hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu

Inawezekana ni ishu ya 10%... Sandaland akae meza moja wamalizane.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…