duh! kweli mtu mweusi hajui mipaka ya chama na serikali inaanzia wapi na kuishia wapi!! yaani wafanyakazi wa sirikali ya Zenjibari waache kujenga nchi wakampokee mtu wa chama cha mabwanyenye wa bara wasiempenda!! duh maskini kodi zetu!!maskini kina yakhe!!
Tuseme ukweli katika wagombea wote watano walipoingia ukumbini Dodoma aliependeza kwa urais wa Zenji mimi nilimuona alikuwa ni Shamsi Vuai Nahodha na shati lake la njano, mzawa na mkaazi wa Zenjibari mwenye uchungu na nchi yake na huruma kwa raia wake!
Shamsi was different, he was slim hana jitumbo kubwa, he was smart, he was shining, he was serious and focused, Mwinyi alikaa ukumbini kivivu vivu sana hadi nikaboreka nikasema huyu nae mbona mzembe mzembe asinzia kwa shibe , kakaa kwenye kiti kwa staili ya kulala ya kimwinyi, nikasema hapa hakuna mtu kuna magumashi tu si kwa kujiamini huku kwa bwana Mwinyi!! ukweli Mwinyi hapendezi kuwa Rais wa Zenji nyie machogo mmelazimisha tu!! kwanza sura na rangi yake na ya Shamsi ni tofauti!! Shamsi kapokwa urais!! Shamsi was the most competitive candidate for Zenjibari presidency in my opinion!! ili kuwapoza wazenji huyo Mwinyi wenu must give Shamsi a top aide post!!
Tundu Lissu ni mzimu unaowasumbua sana wajinga wa chadema!! na kama kweli yule mshamba akija bongo basi anapitiliza mahabusu wadhamini wamejitoa , akitoka mahabusu then jela kunyea ndoo!! hebu chadema acheni kutuletea kichefuchefu kutuambia habari za mtu asiekuwepo nchini hivi mbona uwendawazimu wenu hauishi? hamchoki kuleta uzi za mtu wa porini Singapore? chadema mnatuboa sana wengine tunaoishi kwenye Reality!! tunawaomba tujadili watu tunaowaona kwa macho mfano mwizi wa twiga Nyalandu, Membe , Mh Magufuli nk