Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

Kumtukana Tundu Lissu ambaye ni kiongozi ni kuwatukana maelfu ya members wa jukwaa hili.
Nitashangaa kama MODS watakuachia upumue siku ya Leo bila kukuzawadia kwa ufedhuli wako.
mkuu hapa jukwaani ni mahali salama!
 
Ni sawa kabisa maana Mwinyi ndio rais wao ajaye huyo.

Je yeye Lisu ni nani ajaye?
Kama mtu anapendwa kwanini walazimishwe kwenda kumpokea? Eti wavae kijani na njano.. shubaaaamit.
 
Kwani Tundu Lisu kateuliwa na chama chake kuwa mgombea kama Hussein Mwinyi? Lisu hajateuliwa yuko tu anapambana na hali yake na wagombea wenzie kibao.Asubiri uteuzi
Mbona mnajipofusha hivi?
 
Rais Mteule🤣🤣

Yule mzee hatutaki kumuamkia. Yaani mie Rais wa JMT niwe nampa shikamoo???

Babu Sefu nenda kalee wajukuu/vitukuu tushachagua Rais anasubir kuapishwa tu
Kwani Shein na Magu nani mkubwa? Alivyokuwa anaenda kumpa pole ya kunyimwa mkono na seif alikuwa anamwambia mambo vipi
 
Sasa ndugu unajitoa ufahamu bure tu vitu vingine ni aibu kuuliza, mwinyi na lisu wapi kwa wapi? Mwinyi Ni raisi Ni wakusubiri kuapishwa tu haya huyo kajambanani mwenzako lisu Ni Nani si takataka tu
Maelezo yako yanatabanaisha Akili yako
 
Wakampokee tundu lissu?.. Kwani tundu lissu ana madaraka gani hapa nchini hadi wafanyakazi serikalini waruhusiwe kumpomea. Labda wafanyikazi wa chadema na waajiri binafsi chadema wakipenda. Mwinyi ni mgombea urais kwa chama tawala wakati tundu lissu kwa serikali iliopo madarakani ni sawa na adui kwa jinsi anavyomsema vibaya rais aliyeko mafarakani na setikali yake
Nimsikia Lissu akisema awamu ya tano imechukua pesa za wastaafu, imeongeze makato kwa vijana wetu na hamna kupandisha mishahara watumishi tangu 2015.Je,ni kweli?
 
Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao.

Je, ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
CHADEMA 4 life
JamiiForums-954772894.jpg
 
CCM ni chama cha ajabu kweli. Na kama mtu hakwenda kumpokea anaandikwa jina na kushughulikiwa. Jamani shiddaaaaaah. CCM wamo kwenye "PANIC MODE"
 
duh! kweli mtu mweusi hajui mipaka ya chama na serikali inaanzia wapi na kuishia wapi!! yaani wafanyakazi wa sirikali ya Zenjibari waache kujenga nchi wakampokee mtu wa chama cha mabwanyenye wa bara wasiempenda!! duh maskini kodi zetu!!maskini kina yakhe!!

Tuseme ukweli katika wagombea wote watano walipoingia ukumbini Dodoma aliependeza kwa urais wa Zenji mimi nilimuona alikuwa ni Shamsi Vuai Nahodha na shati lake la njano, mzawa na mkaazi wa Zenjibari mwenye uchungu na nchi yake na huruma kwa raia wake!

Shamsi was different, he was slim hana jitumbo kubwa, he was smart, he was shining, he was serious and focused, Mwinyi alikaa ukumbini kivivu vivu sana hadi nikaboreka nikasema huyu nae mbona mzembe mzembe asinzia kwa shibe , kakaa kwenye kiti kwa staili ya kulala ya kimwinyi, nikasema hapa hakuna mtu kuna magumashi tu si kwa kujiamini huku kwa bwana Mwinyi!! ukweli Mwinyi hapendezi kuwa Rais wa Zenji nyie machogo mmelazimisha tu!! kwanza sura na rangi yake na ya Shamsi ni tofauti!! Shamsi kapokwa urais!! Shamsi was the most competitive candidate for Zenjibari presidency in my opinion!! ili kuwapoza wazenji huyo Mwinyi wenu must give Shamsi a top aide post!!

Tundu Lissu ni mzimu unaowasumbua sana wajinga wa chadema!! na kama kweli yule mshamba akija bongo basi anapitiliza mahabusu wadhamini wamejitoa , akitoka mahabusu then jela kunyea ndoo!! hebu chadema acheni kutuletea kichefuchefu kutuambia habari za mtu asiekuwepo nchini hivi mbona uwendawazimu wenu hauishi? hamchoki kuleta uzi za mtu wa porini Singapore? chadema mnatuboa sana wengine tunaoishi kwenye Reality!! tunawaomba tujadili watu tunaowaona kwa macho mfano mwizi wa twiga Nyalandu, makapi ya sisiem Membe , DJ mwizi na mzinzi , Mh Magufuli nk
Mimi nilimpenda mbarawa zaidi ila kwa kweli candidates wote 5 walioletwa kutoka zanzibar ni wazuri. Mbarawa tuachieni bara ila wengine bila shaka watafaa uongozi popote nchini.
 
sijui kwanini makosa kama haya yanafanyika,,kama kiongozi anamwita mgombea uraisi kuwa ni raisi mteule ,,basi kuna shida ya elimu ya uraia hata kwa viongozi sijui hali ipoje kwa wanachi wa kawaida.
Wanamuita president elect
 
Yaani kuna watu ambao ni mmakada hawaoni kama kuna tatizo hapa.
 
Back
Top Bottom