Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Hicho ndio kipimo kikuu cha weledi wa Polisi na kwamba ahadi ya Rais kuwa uchaguzi huu utakuwa huru na haki ni ya kweli ( na Rais hatakiwi kuwa muongo). Lissu apokewe kwa namna yeyote mradi uratibu uwepo ili kuweka ulinzi wa watu na Mali zao.Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Rais ajaye.Ni sawa kabisa maana Mwinyi ndio rais wao ajaye huyo.
Je yeye Lisu ni nani ajaye?
Ni hilo ulilo nalo makalioni, hapa anazungumziwa Mheshimiwa Tundu Antipas Lissu makamu Mwenyekiti wa Chadema (T).Tundu ndio nini??
Ukiona hivyo maswali kichani.. Imekuwa kama mwenge wa uhuru[emoji16][emoji316]Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Wakampokee tundu lissu?.. Kwani tundu lissu ana madaraka gani hapa nchini hadi wafanyakazi serikalini waruhusiwe kumpomea. Labda wafanyikazi wa chadema na waajiri binafsi chadema wakipenda. Mwinyi ni mgombea urais kwa chama tawala wakati tundu lissu kwa serikali iliopo madarakani ni sawa na adui kwa jinsi anavyomsema vibaya rais aliyeko mafarakani na setikali yakeBarua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Ahahaaaaa! Ndio akili yako hiyo? Ndio maana mnaburuzwa kama magogo na mwenyekiti wenu.Wakampokee tundu lissu?.. Kwani tundu lissu ana madaraka gani hapa nchini hadi wafanyakazi serikalini waruhusiwe kumpomea. Labda wafanyikazi wa chadema na waajiri binafsi chadema wakipenda. Mwinyi ni mgombea urais kwa chama tawala wakati tundu lissu kwa serikali iliopo madarakani ni sawa na adui kwa jinsi anavyomsema vibaya rais aliyeko mafarakani na setikali yake
Watake wasitake Mheshimiwa Lissu tutampokea kwa wingi Kama mkombozi wa taifa!Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Tatizo la Shamsi ni elimu ya kuunga ungaduh! kweli mtu mweusi hajui mipaka ya chama na serikali inaanzia wapi na kuishia wapi!! yaani wafanyakazi wa sirikali ya Zenjibari waache kujenga nchi wakampokee mtu wa chama cha mabwanyenye wa bara wasiempenda!! duh maskini kodi zetu!!maskini kina yakhe!!
Tuseme ukweli katika wagombea wote watano walipoingia ukumbini Dodoma aliependeza kwa urais wa Zenji mimi nilimuona alikuwa ni Shamsi Vuai Nahodha na shati lake la njano, mzawa na mkaazi wa Zenjibari mwenye uchungu na nchi yake na huruma kwa raia wake!
Shamsi was different, he was slim hana jitumbo kubwa, he was smart, he was shining, he was serious and focused, Mwinyi alikaa ukumbini kivivu vivu sana hadi nikaboreka nikasema huyu nae mbona mzembe mzembe asinzia kwa shibe , kakaa kwenye kiti kwa staili ya kulala ya kimwinyi, nikasema hapa hakuna mtu kuna magumashi tu si kwa kujiamini huku kwa bwana Mwinyi!! ukweli Mwinyi hapendezi kuwa Rais wa Zenji nyie machogo mmelazimisha tu!! kwanza sura na rangi yake na ya Shamsi ni tofauti!! Shamsi kapokwa urais!! Shamsi was the most competitive candidate for Zenjibari presidency in my opinion!! ili kuwapoza wazenji huyo Mwinyi wenu must give Shamsi a top aide post!!
Tundu Lissu ni mzimu unaowasumbua sana wajinga wa chadema!! na kama kweli yule mshamba akija bongo basi anapitiliza mahabusu wadhamini wamejitoa , akitoka mahabusu then jela kunyea ndoo!! hebu chadema acheni kutuletea kichefuchefu kutuambia habari za mtu asiekuwepo nchini hivi mbona uwendawazimu wenu hauishi? hamchoki kuleta uzi za mtu wa porini Singapore? chadema mnatuboa sana wengine tunaoishi kwenye Reality!! tunawaomba tujadili watu tunaowaona kwa macho mfano mwizi wa twiga Nyalandu, Membe , Mh Magufuli nk
Hatari sanaWanamuita president elect
Thubutu! Polisi wamekoki zana za kudhibiti watakaofanya hivyo.Barua zimeandikwa huko Zanzibar kutaka wakuu wa idara za serikali wajitokeze kwa wingi kumpokea mgombea wa ccm ndugu Mwinyi na tena waliojitokeza waandikwe majina yao. Je ndugu Tundu Antipas Lissu atakapowasili uwanja wa ndege wa JK Nyerere watu wataruhusiwa kumpokea?
Maajabu na makubwa! Wamelewa madaraka.