Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

Sasa ndugu unajitoa ufahamu bure tu vitu vingine ni aibu kuuliza, mwinyi na lisu wapi kwa wapi? Mwinyi Ni raisi Ni wakusubiri kuapishwa tu haya huyo kajambanani mwenzako lisu Ni Nani si takataka tu
Nyie vijana wa chattle mwisho wenu unakaribia sana. Mnaupenda udikteta kwasababu mnafaidika nao huku ndugu zenu kwa maelfu wakiteseka. Mmekuwa vibaraka wa mkoloni mweusi. Demokrasia kwenu ni upuuzi. Mmeamua kujivua utu na ufahamu. Angalieni matumbo yenu yasipasuke.
 
Wewe hujui kwamba kuna vijana wa chattle wanazunguka huku na kule kumsawazisha yeyote anayepingana na boss. Wapo waliopotea na wengine kuumizwa na hata kufa, hii ndio demokrasia unayomaanisha?
 
Hata Korea ya kaskazini huitwa Democratic Peoples Republic of Korea (DPRK)
 
Mwinyi ni waziri wa ulinzi kwenye nchi hii.
Tundu ni nani kwenye nchi hii?
 
Huu ndio ukoloni swafi ukiondikewa na ASP Zanzibar
 
Hicho ndio kipimo kikuu cha weledi wa Polisi na kwamba ahadi ya Rais kuwa uchaguzi huu utakuwa huru na haki ni ya kweli ( na Rais hatakiwi kuwa muongo). Lissu apokewe kwa namna yeyote mradi uratibu uwepo ili kuweka ulinzi wa watu na Mali zao.
Lissu apokelewe kwa pingu.
 
Gia kubwa naona umeingia JF na gia kubwa kweli kweli.
 
Atatokea hukohuko jela,akipigwa chini si ndo vizuri kwenu
 
Una kwama wapi ndugu? Korea kaskazini haifanani hata chembe na sisi,wao wanatawala familia alianza Babu akaja mtoto Sasa mjukuu huoni Ni mfano mfu huo? Sisi tunatawaliwa kidemokrasia Sasa tuko awamu ya tano
Hakuna tofauti katiba ni Ile ile na mifumo ni Ile ile ya mtawala kuwa ndie mungu huna ruhusa kumhoji kumpinga au kumkosoa
 
Kuhusu Lissu, 'notice' ya dakika kumi inatosha 'kufurika' barabara yote kutoka Airport mpaka atakapofikia!
CHONDE CHONDE MSITANGAZE!
πŸ˜…
πŸ‘Š ✌✌✌πŸ’₯
 

Kwani Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ni sawa? Hussein Mwinyi ana Uadui na Dola kama ambavyo Tundu Lissu anavyopambana nao Mkuu?
 
Kwani Tanzania Bara na Tanzania Visiwani ni sawa? Hussein Mwinyi ana Uadui na Dola kama ambavyo Tundu Lissu anavyopambana nao Mkuu?
Nafikiri hapo ndipo tatizo lako na watanzania wengi; kufikiri kwamba siasa za upinzani ni uadui kati ya serikali na vyama vya upinzani. Nadhani hii ndio dhana aliyonayo jiwe na imepelekea kutaka kuuwa upinzani tena kwa sifa kabisa akifikiri anaua kikundi cha waasi kama kile cha M23. Nafikiri elimu ya demokrasia na uraia ndio tatizo kubwa kwa watanzania na kama ni hivi CCM itatawala mpaka wajinga wafe.
 
Umemwambia ukweli huyo "zeruzeru wa kijani". Tukimsema " kahaba mmoja" mlevi aliyehonga hawala nyumba ya serikali wanatuitia wasiojulikana.
 
Eti rais mteule,kwahiyo anasubiri kutangazwa tu baada ya kuchaguliwa na watanganyika kwa ajili ya maslahi yao znz?
 
TunduLissu ni kibaka ,kibaka apokelewe na nani?
 
TunduLissu ni kibaka ,kibaka apokelewe na nani?
Kumtukana Tundu Lissu ambaye ni kiongozi ni kuwatukana maelfu ya members wa jukwaa hili.
Nitashangaa kama MODS watakuachia upumue siku ya Leo bila kukuzawadia kwa ufedhuli wako.
 
Wakubwa wanajua kwamba ccm haiko tena mioyoni mwa wapiga kura, na njia pekee iliyobaki nikutumia uvumilivu ulio changanyika na uoga wa wafanyakazi na wananchi wote kwa ujumla kuwalazimisha kufuata matakwa yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…