Kwa wafanyakazi Zanzibar kutakiwa wakampokee Mwinyi kwa wingi. Je, watu watarusiwa kumpokea Tundu Lissu atakaporejea nchini?

Kumtukana Tundu Lissu ambaye ni kiongozi ni kuwatukana maelfu ya members wa jukwaa hili.
Nitashangaa kama MODS watakuachia upumue siku ya Leo bila kukuzawadia kwa ufedhuli wako.
mkuu hapa jukwaani ni mahali salama!
 
Ni sawa kabisa maana Mwinyi ndio rais wao ajaye huyo.

Je yeye Lisu ni nani ajaye?
Kama mtu anapendwa kwanini walazimishwe kwenda kumpokea? Eti wavae kijani na njano.. shubaaaamit.
 
Kwani Tundu Lisu kateuliwa na chama chake kuwa mgombea kama Hussein Mwinyi? Lisu hajateuliwa yuko tu anapambana na hali yake na wagombea wenzie kibao.Asubiri uteuzi
Mbona mnajipofusha hivi?
 
Rais Mteule🤣🤣

Yule mzee hatutaki kumuamkia. Yaani mie Rais wa JMT niwe nampa shikamoo???

Babu Sefu nenda kalee wajukuu/vitukuu tushachagua Rais anasubir kuapishwa tu
Kwani Shein na Magu nani mkubwa? Alivyokuwa anaenda kumpa pole ya kunyimwa mkono na seif alikuwa anamwambia mambo vipi
 
Sasa ndugu unajitoa ufahamu bure tu vitu vingine ni aibu kuuliza, mwinyi na lisu wapi kwa wapi? Mwinyi Ni raisi Ni wakusubiri kuapishwa tu haya huyo kajambanani mwenzako lisu Ni Nani si takataka tu
Maelezo yako yanatabanaisha Akili yako
 
Nimsikia Lissu akisema awamu ya tano imechukua pesa za wastaafu, imeongeze makato kwa vijana wetu na hamna kupandisha mishahara watumishi tangu 2015.Je,ni kweli?
 
Kwa Lissu wataenda kwa hiari yao Hadi polisi wataingilia
 
CHADEMA 4 life
 
CCM ni chama cha ajabu kweli. Na kama mtu hakwenda kumpokea anaandikwa jina na kushughulikiwa. Jamani shiddaaaaaah. CCM wamo kwenye "PANIC MODE"
 
Mimi nilimpenda mbarawa zaidi ila kwa kweli candidates wote 5 walioletwa kutoka zanzibar ni wazuri. Mbarawa tuachieni bara ila wengine bila shaka watafaa uongozi popote nchini.
 
sijui kwanini makosa kama haya yanafanyika,,kama kiongozi anamwita mgombea uraisi kuwa ni raisi mteule ,,basi kuna shida ya elimu ya uraia hata kwa viongozi sijui hali ipoje kwa wanachi wa kawaida.
Wanamuita president elect
 
Yaani kuna watu ambao ni mmakada hawaoni kama kuna tatizo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…