Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee anataka simu za Nini?Nimeona mfano huo kwa baba yangu. Tangu tukiwa wadogo ndugu wengi walikuwa wakija pale nyumbani na kusaidiwa hadi ada za shule kwa wale waliokua wanasoma. Sasa imepita miaka mingi maisha yake ni yaleyale, wale waliosaidiwa wengi wapo kimya tena baadhi wako ulaya lakini hata kupiga simu kutoa salamu ni mtihani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unavunjika mbavu mkuu!
Mimi ninachoona ni Baba ake na jamaa kuwasaidia ndugu zake wakafanikiwa kuliko yeye[emoji23] (WIVU)Mzee anataka simu za Nini?
Nyie maisha yenu yamekuaje since utoto wenu? Je Mungu kawafungulia njia na mmeweza kuzifikia ndoto zenu mkiwa wazima na wenye afya?
Haya mambo ni kanuni
Ukiwekeza kwenye mambo yanayoonekana uwe na hakika utayaona mambo hayo (tangible things)
Ukiwekeza kwenye non material things like upendo, kutoa misaada, ulevi , kuchakata K...uwe na uhakika utavuna non tangible things.
Hivyo ni uchaguzi wako kuamua njia unayotaka kuiendea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa yao kwani wanachokipata hugawana na wenzao kutokana na roho ya utu iliyomo mioyoni mwao kuchukulia shida ya mwenzake ni yake.Hili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu wenye huruma na moyo wa kujitolea kwenye matatizo ya wenzao huwa na maisha magumu au ya kawaida sana.
Labda ungetegemea kwa kadiri mtu anavyosaidia wenzake ndo na yeye mambo yake yanyooke lakini inakua tofauti.Wapo watu wengi waliofirisika kwa kusaidia ndugu au marafiki mwisho wa siku wakajikuta wameishiwa kabisa. Mbaya zaidi wale waliosaidiwa huanza kuwacheka na kuwakejeli. Nimeona mfano huo kwa baba yangu. Tangu tukiwa wadogo ndugu wengi walikuwa wakija pale nyumbani na kusaidiwa hadi ada za shule kwa wale waliokua wanasoma. Sasa imepita miaka mingi maisha yake ni yaleyale, wale waliosaidiwa wengi wapo kimya tena baadhi wako ulaya lakini hata kupiga simu kutoa salamu ni mtihani.
Upande wa pili ukiangalia watu wenye roho mbaya na wabinafsi huwa wanafanikiwa sana pamoja na roho zao mbaya. Hawa ni wale watu ambao hawatoi msaada hata kama mtu anaumwa labda kwenye msiba ndo utawaona wanatoa misaada ya sifa.Kwa nini iko hivyo wakati tunaambiwa kwenye dini kadri unavyotoa ndivyo unapata zaidi? Kwa nini mwenye roho ngumu ndo afanikiwe kuliko mwenye roho nzuri? Majibu yenu tafadhali. Pascal Mayalla, Mshana Jr na wahenga wengine, nahitaji busara zenu huku.
Sio ishu ya wivu mkuu!Hili swali linafikirisha sana ukijibu kijuujuu ndo utakuja na majibu mepesi kama hayo.Labda nikupe mfano mwingine tukiacha huo mfano wa baba yangu hadi ukahisi labda anawaonea wivu nduguze.Chukua mfano huu:Tanzania pamoja na umaskini wetu tulizisaidia sana nchi za kusini kupata uhuru ungetegemea zile baraka zitupe mafanikio watu watutolee mfano tulivyofanikiwa kimaisha kwa kusaidia wengine.Badala yake mambo ni kinyume hizo nchi zilipopata Uhuru zilitupita mbali kiuchumi sisi tukaendelea kua maskini wa kutupwa kwa miaka mingi tukiwa nchi ya 3 kwa umaskini duniani hadi miaka ya juzi hapa kuanzia awamu ya mkapa ndo tukaanza ona mwanga wa maendeleo.Je kwa msaada tuliotoa baraka sake zilienda wapi?usiseme amani mana Luna nchi zingine pia zona amani kama yetu na ni wachoyo hawasaidii wenzao.Nasubiri jibu mkuu kama ukipata nafasi ya kujibuMimi ninachoona ni Baba ake na jamaa kuwasaidia ndugu zake wakafanikiwa kuliko yeye[emoji23] (WIVU)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio ishu ya wivu mkuu!Hili swali linafikirisha sana ukijibu kijuujuu ndo utakuja na majibu mepesi kama hayo.Labda nikupe mfano mwingine tukiacha huo mfano wa baba yangu hadi ukahisi labda anawaonea wivu nduguze.Chukua mfano huu:Tanzania pamoja na umaskini wetu tulizisaidia sana nchi za kusini kupata uhuru ungetegemea zile baraka zitupe mafanikio watu watutolee mfano tulivyofanikiwa kimaisha kwa kusaidia wengine.Badala yake mambo ni kinyume hizo nchi zilipopata Uhuru zilitupita mbali kiuchumi sisi tukaendelea kua maskini wa kutupwa kwa miaka mingi tukiwa nchi ya 3 kwa umaskini duniani hadi miaka ya juzi hapa kuanzia awamu ya mkapa ndo tukaanza ona mwanga wa maendeleo.Je kwa msaada tuliotoa baraka sake zilienda wapi?usiseme amani mana Luna nchi zingine pia zona amani kama yetu na ni wachoyo hawasaidii wenzao.Nasubiri jibu mkuu kama ukipata nafasi ya kujibu
Japo sijatajwa kwenye uhenga hapo acha nijipendekeze tu.
Mwenye roho nzuri ni sawa na tenga la nyanya hata ulipeleke baharini au ziwani kuchotea maji haliwezi kujaa. Roho nzuri yao inawadidimiza hawaweki akiba.
Mwenye roho mbaya mbinafsi ni sawa na ndoo ukikinga maji yanajaa. Hawa mara nyingi wana uwezo mkubwa wa kuweka akiba. Wahenga walishasema akiba haiozi.
Big yes, wenye roho mbaya ufanikiwa kama mleta mada na jamii nyingi za kiafrica uwaita lakini ukifuatilia kwa umakini na ukiwa na elimu kiasi ya financial management hao watu wanatakiwa waitwe ni watu wenye BUDGETING AND PLANNING za hatari ambazo azijali shida za watu za kila mara na ndo maana ufanikiwa maana siri ya kufanikiwa kifedha ni budget na plan kitu ambacho waafrica wengi ushindwa kutambua ni nini na kuishia kuita, ubahili au roho mbaya na watu wanaosaidia sana mara nyingi huwa ni watu ambao hawafati budget na plan zao na ndo maana ushindwa kufanikiwa sana kifedha na ndo waafrica wengi huwaita wanaroho nzuri sana. Ukitembea kwenye budgt na plan lazima utaitwa mchoyo, mbahili , mchumi na majina mengi tu lakini mwisho wa siku lazima ufanikiweHili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu wenye huruma na moyo wa kujitolea kwenye matatizo ya wenzao huwa na maisha magumu au ya kawaida sana.
Labda ungetegemea kwa kadiri mtu anavyosaidia wenzake ndo na yeye mambo yake yanyooke lakini inakua tofauti.Wapo watu wengi waliofirisika kwa kusaidia ndugu au marafiki mwisho wa siku wakajikuta wameishiwa kabisa. Mbaya zaidi wale waliosaidiwa huanza kuwacheka na kuwakejeli. Nimeona mfano huo kwa baba yangu. Tangu tukiwa wadogo ndugu wengi walikuwa wakija pale nyumbani na kusaidiwa hadi ada za shule kwa wale waliokua wanasoma. Sasa imepita miaka mingi maisha yake ni yaleyale, wale waliosaidiwa wengi wapo kimya tena baadhi wako ulaya lakini hata kupiga simu kutoa salamu ni mtihani.
Upande wa pili ukiangalia watu wenye roho mbaya na wabinafsi huwa wanafanikiwa sana pamoja na roho zao mbaya. Hawa ni wale watu ambao hawatoi msaada hata kama mtu anaumwa labda kwenye msiba ndo utawaona wanatoa misaada ya sifa.Kwa nini iko hivyo wakati tunaambiwa kwenye dini kadri unavyotoa ndivyo unapata zaidi? Kwa nini mwenye roho ngumu ndo afanikiwe kuliko mwenye roho nzuri? Majibu yenu tafadhali. Pascal Mayalla, Mshana Jr na wahenga wengine, nahitaji busara zenu huku.
Sasa kwa nn tunahizwa kusaidia mkuu?Umeeleweka, kiukweli ukiwa na moyo mzuri kwenda mbali ni ngumu
Ukikosa ili mwenzio apate unaona sawa, wafanyakazi wako utataka kuwalipa fair ili wasinung'unike na mbaya wakikuibia unawaacha.
ndugu wakitaka msaada utawapa hata katika saving uliyozipangia mahesabu marefu. Kiukweli ni ngumu tofauti na mtu mwenye roho ngumu anaangalia faida tu na si well being ya watu wengine na hivyo anajilimbikizia mali zaidi
Hahaha!umeua mkuu!Sasa tutafanyaje mana Dino zinataka tusaidiane kiasi kwamba aliye na nguo mbili ampe moja jirani yake sasa ukiwa selfish INA maana uko nje ya dini.Jambo la ajabu hao wasiofuata hayo maagizo ya kusaidiana ndio wanawin maisha.Hapo ndo kichwa kinauma kiasi cha kuuliza hilo swali kwa nn watu wengi wenye roho nzuri hawawin kama wale wenye roho mbaya au ngumu?Big yes, wenye roho mbaya ufanikiwa kama mleta mada na jamii nyingi za kiafrica uwaita lakini ukifuatilia kwa umakini na ukiwa na elimu kiasi ya financial management hao watu wanatakiwa waitwe ni watu wenye BUDGETING NA PLANNING za hatari ambazo azijali shida za watu na ndo maana ufanikiwa maana siri ya kufanikiwa kifedha ni budget na plan kitu ambacho waafrica wengi ushindwa kutambua ni nini na kuishia kuita, ubahi au roho mbaya na watu wanaosaidia sana mara nyingi huwa ni watu ambao hawafuari budget na plan zao na ndo maana ushindwa kufanikiwa sana kifedha na ndo waafrica wengi huwaita wanaroho nzuri sana. Ukitembea kwenye budgted na plan lazima utaitwa mchoyo, mbahili , mchumi na majina mengi tu
Unatakiwa usaidie mkuu ila kwa budget kwa mfano unaweza kuweka budget ya kiasi kadhaa cha kusaidia ila kisiingilie budget zako nyingine sasa tatizo la wabongo hawatambui ilo wao wanataka kusaidiwa tu muda wowote wanaoibuka na mtu akishindwa kuwasaidia umwita mchoyo mana wengi financial budget& plan imewapitia kushotoSasa kwa nn tunahizwa kusaidia mkuu?
Hahaha!umeua mkuu!Sasa tutafanyaje mana Dino zinataka tusaidiane kiasi kwamba aliye na nguo mbili ampe moja jirani yake sasa ukiwa selfish INA maana uko nje ya dini.Jambo la ajabu hao wasiofuata hayo maagizo ya kusaidiana ndio wanawin maisha.Hapo ndo kichwa kinauma kiasi cha kuuliza hilo swali kwa nn watu wengi wenye roho nzuri hawawin kama wale wenye roho mbaya au ngumu?
Sasa kwa nn tunahizwa kusaidia mkuu?
Hahaha!umeua mkuu!Sasa tutafanyaje mana Dino zinataka tusaidiane kiasi kwamba aliye na nguo mbili ampe moja jirani yake sasa ukiwa selfish INA maana uko nje ya dini.Jambo la ajabu hao wasiofuata hayo maagizo ya kusaidiana ndio wanawin maisha.Hapo ndo kichwa kinauma kiasi cha kuuliza hilo swali kwa nn watu wengi wenye roho nzuri hawawin kama wale wenye roho mbaya au ngumu?
Wapo wanaologwa na kujifia mjomba..Ushawai kuona askari kalogwa kwa roo mbaya yake?
Ushauri wangu "dont give a shit"..