Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 168
- 334
Nyimbo ya dansi sikumbuki vizuri imeimbwa na bendi gani (nahisi tu ni daimond Sound) inaimbwa hivi
"Nashangaa na maneno yako umekuwa kigeugeu aah neema tunapopendana na wewe umenitamkia mwenyewe nakupenda japo huna kitu
Chorus " Neema kumbuka kupata ni majaliwa mapenzi sio mali wala kipato ,penzi ni dhamana ya moyo wa mtu yo yo yo"