Kwa wakazi wa Arusha, ingiza milioni 9 kwa mwaka ya uhakika kwa kufanya ivi

Mr mutuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2023
Posts
2,869
Reaction score
14,501
Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo

Kama Kuna mtu anataka kuinvest hela yake awe anapokea 9M Kila mwaka huku thamani ya jengo lake likizidi kupanda Ani Pm... Nakuunganisha na mhusika Moja kwa moja hakuna mtu wa kati, nyumba Ina hati ya wizara hakuna longolongo.....

Natumiwa picha ntazipandisha huku
 
Kwanini yeyey anauuza na inampa uhakika wa kuishi
 
Inawezekana unachomaanisha nisahihi ila watu wakakutafsiri kinyume.
Haswa swali muhimu nihili..!
Muuzaji wa hiyo nyumba kwake ni hasara au faida??
 
Muuzaji anataka cash itakuwa
Aipeleke UTT iwe inamlipa monthly 😀😀
Tena bila kusumbuana na wapangaji kwa uharibifu wa nyumba. UTT unapata pesa yako ukiwa umelala. Juzi mfuko wa bond umetufurahisha mnoo sisi wawekezaji,kuna ongezeko la pesa ambalo si la kawaida kabisa. Ni mara mbili ya gawio ambalo nilikuwa napata kila mwezi. Sijui kimetokea nini huko UTT 😃
 
Wekeza mil 100...
Anza kula faida ya 9mil per year baada ya miaka 12...
 
Tena bila kusumbuana na wapangaji kwa uharibifu wa nyumba. UTT unapata pesa yako ukiwa umelala. Juzi mfuko wa bond umetufurahisha mnoo sisi wawekezaji,kuna ongezeko la pesa ambalo si la kawaida kabisa. Ni mara mbili ya gawio ambalo nilikuwa napata kila mwezi. Sijui kimetokea nini huko UTT 😃
Em nikachungulie salio 😁🥰
 
Kuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo

Kama Kuna mtu anataka kuinvest hela yake awe anapokea 9M Kila mwaka huku thamani ya jengo lake likizidi kupanda Ani Pm... Nakuunganisha na mhusika Moja kwa moja hakuna mtu wa kati, nyumba Ina hati ya wizara hakuna longolongo.....

Jjna
Natumiwa picha ntazipandisha huku
Inauzwa senti ngapi?classmate
 
Back
Top Bottom