Kwanini yeyey anauuza na inampa uhakika wa kuishiKuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo
Kama Kuna mtu anataka kuinvest hela yake awe anapokea 9M Kila mwaka huku thamani ya jengo lake likizidi kupanda Ani Pm... Nakuunganisha na mhusika Moja kwa moja hakuna mtu wa kati, nyumba Ina hati ya wizara hakuna longolongo.....
Natumiwa picha ntazipandisha huku
Ahsante kwa fursa π
Anataka 100M cashKwanini yeyey anauuza na inampa uhakika wa kuishi
Muuzaji anataka cash itakuwaInawezekana unachomaanisha nisahihi ila watu wakakutafsiri kinyume.
Haswa swali muhimu nihili..!
Muuzaji wa hiyo nyumba kwake ni hasara au faida??
βΊβΊ mwamba amechoka kupokea hiyo m9 kwakila mwaka ndani ya miaka8 je! Mimi nintaweza kweli??Anataka 100M cash
Hizo 9,9M za kusubiri annualy amezichoka
Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndo fursaAhsante kwa fursa π
ππMuuzaji anataka cash itakuwa
Aipeleke UTT iwe inamlipa monthly ππ
Tena bila kusumbuana na wapangaji kwa uharibifu wa nyumba. UTT unapata pesa yako ukiwa umelala. Juzi mfuko wa bond umetufurahisha mnoo sisi wawekezaji,kuna ongezeko la pesa ambalo si la kawaida kabisa. Ni mara mbili ya gawio ambalo nilikuwa napata kila mwezi. Sijui kimetokea nini huko UTT πMuuzaji anataka cash itakuwa
Aipeleke UTT iwe inamlipa monthly ππ
Em nikachungulie salio ππ₯°Tena bila kusumbuana na wapangaji kwa uharibifu wa nyumba. UTT unapata pesa yako ukiwa umelala. Juzi mfuko wa bond umetufurahisha mnoo sisi wawekezaji,kuna ongezeko la pesa ambalo si la kawaida kabisa. Ni mara mbili ya gawio ambalo nilikuwa napata kila mwezi. Sijui kimetokea nini huko UTT π
Inauzwa senti ngapi?classmateKuna dili nimepewa ila nimekosa Hio pesa, Kuna nyumba ipo arusha inauzwa milioni 100, Ina wapangaji kampuni ya wahindi ambayo imesajiliwa wameikodi Hio nyumba, Wana zaidi ya miaka 8 wamekodi Hio nyumba, wanalipa Kodi milioni 9 Kila mwaka na wanalipa kwa mkupuo
Kama Kuna mtu anataka kuinvest hela yake awe anapokea 9M Kila mwaka huku thamani ya jengo lake likizidi kupanda Ani Pm... Nakuunganisha na mhusika Moja kwa moja hakuna mtu wa kati, nyumba Ina hati ya wizara hakuna longolongo.....
Jjna
Natumiwa picha ntazipandisha huku